Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

🤣
 
Kuna kibunda huko Nina mentorship program kwa ajili ya mabingwa wa aviator natoza kiasi kidogo tu Cha pesa

Remember aviator is not for everybody but for the champions
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Uliwaza hadi kufungua na shule
 
Dah! Ndo hivyo mkuu, yaani kule wanakushawishi kivyovyote vile ili wakupige na vitu vizito. Nimepoteza muda. Yaani mpaka tumbo linaanza kuuma
We jamaa story zako sometimes ni chai, na nilijua tuu ukiwa kimya muda mrefu ukija lazima utatugea chai ya motoooo
 
Unakataza serikali isinunue LC unaenda kutupa pesa. Jamaa wakiangalia fedha zinazopotezwa kwenye betting lazima waongeze tozo.
 
Hako kandege kakitoka tu bonyeza,usisubiri eti kafike sijui wapi kule souz sudani no, we ukicheza na ukaona kameruka fasta bofya batani 😂, utanishukuru.
 
Hako kandege kakitoka tu bonyeza,usisubiri eti kafike sijui wapi kule souz sudani no, we ukicheza na ukaona kameruka fasta bofya batani 😂, utanishukuru.
😂😂Mkuu, nilichogundua hawa watu wanasoma algorithms za mtu, kuna ka ai kanatumika. Wakiona huyu jamaa anavizia ndege ikiwa inachochea mafuta ndo abofye toa pesa, wanaamua kukuwahi vile ndege inatokeza tu hivi, utaskia Mweeeeeeeeee! Yaani hata kama odds zinasoma 1.00 ili tu wakule wafurahi

Ukimuuliza vizuri Chat GPT 3.5 anakupa maelezo ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…