pole zako mkuu....sote tupo njia moja!hiki ndicho kilichonipata jana Chief ..... grrrrrrrrrrrrrrrrrrrr. Hatareee sn
View attachment 381234
NdioHalftime/fulltime... hii ni sawa na ile ya premier betting?
ligi ya japani ni ya kikudaKwa nini mkuu? Kesho kuna wajapan wanatoa sana hio ten minutes x.
Jana zile game za mchana zote zilitoa.ligi ya japani ni ya kikuda
ilikuwa ligi kubwa ya leo ligi ya 2Jana zile game za mchana zote zilitoa.
Cha ajabu mechi zenye odds ndogo ndo hua zinachana mikekaDaaah, mapema mnoooo. Tukiweka kokolo wachawi hawakosekani, tukichagua timu 2 napo tunambeba na mchawi ... looks like is going to be a bad day too. Ngoja nitulie tu ...
View attachment 381361
Na ameshinda auFC Montréal - Charleston Battery
Iyo game muhindi kakosea au???kampa FC montreal 10 odds.... wakati hajawahi fungwa na haka ka team
jweli ni ya kiQUMER sana. umeona eeh?ligi ya japani ni ya kikuda
zote ngumu kumeza mkuu.man u win
anzhi win
merseille win
sampodoria win
HAPO NIAJE?