Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,047
- 1,903
ligi zikianza kunakuwa na raha yake. mechi zinakuwa nyingi, options nyingi na confidence inakuwa kubwa.ngoja ligi zianze, tuanze kukimbizana humu[emoji23][emoji23][emoji23]
pole mkuu, siku ya kwanza tu muhindi kakunyong'onyeza. inakatisha tamaa aisee.Safari yangu inaanzia hapa ya kuusaka umilionea kwa buku 10
Hizi Odd ndogo ni very dangerous tena ni sumu kabisapole mkuu, siku ya kwanza tu muhindi kakunyong'onyeza. inakatisha tamaa aisee.
kila mbinu tunayotumia vichapo, kila tunapokimbilia vichapo, kila option tunayocheza vichapo. hakuna unafuu.
sumu.Hizi Odd ndogo ni very dangerous tena ni sumu kabisa
Betting ukiwa muoga hautoboi... Odd ndogo ya chini kabisa kwa single bet ni kuanzia Odd 1.6sumu.
single match walau ianzie odds 1.3 kwenda juu, chini ya hapo ni uwoga. odds 1.01 mpaka 1.29 zinapoteza sana muda. siku zinakatika uko palepale.
Sasa mfano nikitaka single kwa direct win match kama hii inakuwa imepoteza uhalali.Betting ukiwa muoga hautoboi... Odd ndogo ya chini kabisa kwa single bet ni kuanzia Odd 1.6
Hivi mzee 1xbet hawawezi kuondoa hizi huduma za kuweka na kutoa Kwa simu maana Hawa jamaa siwaaminiSasa mfano nikitaka single kwa direct win match kama hii inakuwa imepoteza uhalali.
Mancity v Aberdeen
W1 = 1.29
X = 4.5
W2 = 13
ni mfano tu.
Hii ya sasa hivi huenda ikadumu maana hakuna mtu kati selcom duka.Hivi mzee 1xbet hawawezi kuondoa hizi huduma za kuweka na kutoa Kwa simu maana Hawa jamaa siwaamini
Hivi Vodacom nayo sio freeHii ya sasa hivi huenda ikadumu maana hakuna mtu kati selcom duka.
Tena kama tigopesa unadeposit free kabisa.
Vodacom sio free wanakata pakubwa.Hivi Vodacom nayo sio free
Mimi ngoja niwaangalie mpaka mwakani uzuri sporty bet nayo ni nzuriUzuri ukideposit kwa mobile payment halafu wakaondoa option ya kutoa bado utaweza kutoa.
Unachotakiwa kufanya ni kudeposit kiasi fulani kwa wakala kisha unabet kwa odds kuanzia 1.10 kisha unatoa.
Kwa mimi game hiyo siiwekiSasa mfano nikitaka single kwa direct win match kama hii inakuwa imepoteza uhalali.
Mancity v Aberdeen
W1 = 1.29
X = 4.5
W2 = 13
ni mfano tu.