Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Safari yangu inaanzia hapa ya kuusaka umilionea kwa buku 10
 

Attachments

  • Screenshot_20240731-110956.png
    Screenshot_20240731-110956.png
    78.8 KB · Views: 8
Mapema ,tukiweka pakubwa inagoma tukiweka padogo inatoa😂😂😂,ila mwingine nimepost apo juu👆🏽👆🏽👆🏽 tuishi nao una odds 4🙏🏽
Screenshot_20240731-145812.jpg
 
Safari yangu inaanzia hapa ya kuusaka umilionea kwa buku 10
pole mkuu, siku ya kwanza tu muhindi kakunyong'onyeza. inakatisha tamaa aisee.

kila mbinu tunayotumia vichapo, kila tunapokimbilia vichapo, kila option tunayocheza vichapo. hakuna unafuu.
 
Mimi nafurahia tu makamaria tunavyodanganyanaga hapa jukwaani @[emoji28][emoji28]
 
Uzuri ukideposit kwa mobile payment halafu wakaondoa option ya kutoa bado utaweza kutoa.
Unachotakiwa kufanya ni kudeposit kiasi fulani kwa wakala kisha unabet kwa odds kuanzia 1.10 kisha unatoa.
Mimi ngoja niwaangalie mpaka mwakani uzuri sporty bet nayo ni nzuri
 
Back
Top Bottom