Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hahaha ya supu hii janaNimekaa nimetafakari vipigo vya jana, nimeona msimu huu niwe naibetia yanga tu direct
Mimi nipo hapa nasubiriWakuu habari ya asubuhi.
Kunasalam kutoka kwa nabii mr pipa
Amesema ligi zimekaribia nae atakuja kwahiyo tuandae MIA MIA zetu anakuja kutupa milion nyingiì. Yan anasema ni mwendo wa treni za hela tuu.
NB
MM N MJUMBE.
Hatari na nusu, kauli kama 586 odds zimechana mbili yaani ipo siku tu kanji ataingia kwenye mfumo...alafu kila siku kilioUle msimu wa kutukana matusi mengi mengi umewadia na unaanza wiki hii.
Watakutukana mwana ππππππ‘οΈHuu uzi haufikishi watu 20 ila unasonga
wamemshindwa mhindi..Watakutukana mwana ππππππ‘οΈ