Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee kama nina gundu odds 519 siku 4 zimepita sijala hiyo hela wala siijaipata yote ,siku ya kwanza kuitoa ikagoma hewani,ikarudishwa nkaitoa kwa njia ya vocha kampuni fulani hadi jana mawakala wao na kampuni ni shida Leo naambiwa nsuburi hadi kesho Leo nataka niseme kampuni za uhakika tz n azozijua mimi ni
1-meridian
2-Bet power
3-sport pesa
4-gal sports
5-par match hawa wanakuja vizuri sana
 
Na sportybet
 

Kampuni Bora tanzania ni sportybet tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…