Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyu Man U mnavyompamba mtaleta mrejesho wa matusi hapa
ligi iliyopita nilikuwa naruka mechi zake bila hata kufikiria, ila sasa anaonekana yupo vema nitambetia mechi yake ya nne ya ligi.
 
Wazee mbona nashindwa kuangalia mkeka wangu premier na kwenye bet slip wameandika 0 wakati nimebet
 
Man u tatizo anawapenzi wengi kwa hiyo kwenye bet hatumwachagi watu wengi wanaobeti hawaachagi timu wanazozipenda ila man akifa Leo ni dunia mzima kilio
[emoji23] [emoji23]

Mkuu hata Mimi ntakuwemo kwny hicho kilio ikitokea man u akazingua
 
Jaman naomba reference number ya mkekabet. Nimechoka kipgo meridian
 
ana ana doo.... #liwalo na liwe #ama zake ama zangu #kokolo #keka la mwendo kasi

nimechukua 10minutes droo zenye odds kuanzia 1.15 bila kujali timu gan

ngoja tuone
 

Attachments

  • capture-20160814-135459.png
    9.9 KB · Views: 27
Huyu Man U mnavyompamba mtaleta mrejesho wa matusi hapa


acheni hizo, hayo maneno mnaleta gundu kwenye mikeka ya watu... wewe saidia tu kubana korodani.... mimi napiga ibada wengine rogeni man u ashinde hakika mwindi hachomoki leo
 
ana ana doo.... #liwalo na liwe #ama zake ama zangu #kokolo #keka la mwendo kasi

nimechukua 10minutes droo zenye odds kuanzia 1.15 bila kujali timu gan

ngoja tuone
Msaada namna ya kubet meridian mi nishazoea premier betting
 
ana ana doo.... #liwalo na liwe #ama zake ama zangu #kokolo #keka la mwendo kasi

nimechukua 10minutes droo zenye odds kuanzia 1.15 bila kujali timu gan

ngoja tuone
Huwezi kula mkeka wa namna hii nakuapia
 
Kama unatumia simu log in kwa browser ilio kuja na simu usitumie opera/uc browser
Au kama una pc jarbu ku log in chek acc overview yako kisha leta mrejesho apa
Nimechek acc overview lakin ina nambia error
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…