Huwezi kula mkeka wa namna hii nakuapia
Kamikaze zimeshambuliwa ni msiba tu.Mlioenda Japan mchana huu tupeni mrejesho
Ingia premier/account/account overview/lostAisee mie premier nashindwa kuangalia mikeka yangu nliyobet nifanyaje
Man u draw no bet
Arsenal GG
Qpr under 3.5
Ingia premier/account/account overview/lost
Nahisi zitakuwa kwenye 'lost'
Majanga.. nmeweka mechi4 GG moja imetoa 0-0 [emoji35]Mlioenda Japan mchana huu tupeni mrejesho
Nzuri.....wasi wasi uyu hawa wakina QPR huwa hwakawiii kutoka 2-2!!!!Kila lakheri iko poa hiiMan u draw no bet
Arsenal GG
Qpr under 3.5
Wapigie simu 0745100777Unadeposit vp mkekabet kutoka Tigopesa km nlijisajili kwa line ya Voda?
Wapigie simu 0745100777
No ya mke wangu sijaikalili ila yao IPO kichwani
Sawa mkuu....Wanasema,kizuri kula na nduguyu.
Wale wa in play za mkeka bet kuna sehemu madevu anatoa udenda tu,vizieni HT CORRECT SCORE kuanzia dk ya 40 hivi kuna odds nono na vivyo hivyo FT CORRECT SCORE anzia dk kama 80 hapo chance ya kumnyonyoa ni kubwa mno.
Kimeeleweka
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umenena broWanasema,kizuri kula na nduguyu.
Wale wa in play za mkeka bet kuna sehemu madevu anatoa udenda tu,vizieni HT CORRECT SCORE kuanzia dk ya 40 hivi kuna odds nono na vivyo hivyo FT CORRECT SCORE anzia dk kama 80 hapo chance ya kumnyonyoa ni kubwa mno.
Huu mkosi nimeenda denmark tena mechi 4 GG tatu zimetick, moja imetoka 2-0 [emoji35] [emoji35] [emoji35]Majanga.. nmeweka mechi4 GG moja imetoa 0-0 [emoji35]