Aisee we acha tu,,,, kaniunguzia mzigo mrefu balaaKwa hiyo Man U ni ile ile
Mkuu sikushauri kabisaaaa uingie kwenye kubet πwakubwa nataka nianze kubet..nipeni muongozo app ipi iko poa
Usibeti kwa majina ndugu, Brighton form yao si ya kitotoWameniua kipindi cha kwanza Sina hamu nao,,,, niliona draw ya wazi ila bdae niliona ujinga maana Onana cjui anauchukuliaje mpira wa england!!!
Cjui lakini ila asipojiangalia ataondoka kwa aibu,,,,, england kila mechi inabidi uwe siliazi na mchezo ila huyu mwamba dah
Kuna treni langu la win draw,,,, akipigwa ft ndo kabisa kamaliza kazi united bhana
mkuu hutaki na mm nile mema ya muhindi?Mkuu sikushauri kabisaaaa uingie kwenye kubet π
MAN USELESS KAMA KAWAIDA YAO KMMKK π€‘π€‘
Ndio mkuuNikusaidie jinsi ya kudeposit mkuu?
Fungua app ya PARIPESA. Itakuonesha ukurasa kama huu. Bonyeza alama ya + mkono iliyo upande wa kushoto juu.Ndio mkuu
Hauna magonjwa yoyote ya moyo?wakubwa nataka nianze kubet..nipeni muongozo app ipi iko poa