Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betting ni bahati tu ndg,,,, goli lilioingia la mwsho na hata la kwanza ni kauzembe ka kidogo cha wachezaji kimewaghalimu!!

Achana na Man united njoo umuone Aek Athens huku,,,,, kila mechi win leo anakufa nyumbani hata draw hakuna,,,, only licky
Hako kauzembe unakosema ndio uwezo wenyewe mtu mwenye akili timamu awezi kuibetia man u ikicheza na Brighton wewe timu mechi nne mfululizo haijapata hata sare na Brighton halafu uibetie hivi utakua na akili timamu
 
Ukistake parefu unapigwa ila ukibeti masikhara unawin
Screenshot_20240825-072401.png
 
Hako kauzembe unakosema ndio uwezo wenyewe mtu mwenye akili timamu awezi kuibetia man u ikicheza na Brighton wewe timu mechi nne mfululizo haijapata hata sare na Brighton halafu uibetie hivi utakua na akili timamu
💯
 
pasua nusu twende
 
Attachments

  • 1724569163774.jpg
    1724569163774.jpg
    184.7 KB · Views: 2
  • 1724569137038.jpg
    1724569137038.jpg
    149.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom