Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Hako kauzembe unakosema ndio uwezo wenyewe mtu mwenye akili timamu awezi kuibetia man u ikicheza na Brighton wewe timu mechi nne mfululizo haijapata hata sare na Brighton halafu uibetie hivi utakua na akili timamuBetting ni bahati tu ndg,,,, goli lilioingia la mwsho na hata la kwanza ni kauzembe ka kidogo cha wachezaji kimewaghalimu!!
Achana na Man united njoo umuone Aek Athens huku,,,,, kila mechi win leo anakufa nyumbani hata draw hakuna,,,, only licky