Na Roma ya itali je',,,,, nipe maujanja fundi wa mikekaHako kauzembe unakosema ndio uwezo wenyewe mtu mwenye akili timamu awezi kuibetia man u ikicheza na Brighton wewe timu mechi nne mfululizo haijapata hata sare na Brighton halafu uibetie hivi utakua na akili timamu
Huu nilipita nao, nimewin.View attachment 3079224
Bado Game 2 Kuboom Million 5. Wangapi walicheza hizi odds 11? Kama ulicheza najua utakuwa unafurahia.
Wapo watakaosema nimeeditπ.
Tatizo tu ku withdraw jamaa wananisumbua sanaHuu nilipita nao, nimewin.
hivi kudeposit inachukua muda gani paka hela isome kwenye acc, maana nimetuma pesa af sio salio kwenye acc ya paripesaHuu nilipita nao, nimewin.
Niliacha pumde tu nilivyohis kuna namna wanafanya wale jamaa.Wakamalia leo niliona jamaa Kenya, anasema wanabeti Aviator lakini wakila hela nyingi akaunti zinafutwa.
Kuna mmoja anasema alikula wakamwambia athibitishe yeye sio roboti.
Hapa kwetu nakumbuka wakati nipo chuo kuna hii kampuni inawadhamini simba(hiyo hiyo inayokaa tumboni) jamaa flani walishinda hawakupewa pesa yote, ilikuwa hivi waliweka mkeka online then waka screenshot halafu mechi zilipoisha wakakuta wameliwa. Kuangakia vizuri kuna mechi wao hawakuziweka zimebadilishwa wakawekewa zilizo zingua. Wakafatilia wakapewa hela kidogo tena kwa mbinde sana.
Why nakupa hii, kuna IT yupo kampuni moja maarufu hapa Tanzania anasema huwa ndio michezo kubadilisha timu hasa kama umeweka mkeka wa timu 30 au hata 50 wengine, hapo wanakuwa na imani huzikumbuki zote, lakini hata ukikumbuka wana nguvu ya mfumo unachoonesha huwezi washitaki.
So kama wewe umewekeza ku bet online hakikisha unatoa copy ya mkeka wako iwe screenshot au record ila hakikisha uko makini jamaa hawataki kuliwa sasa hivi.
hali ngumu kila konaWakamalia leo niliona jamaa Kenya, anasema wanabeti Aviator lakini wakila hela nyingi akaunti zinafutwa.
Kuna mmoja anasema alikula wakamwambia athibitishe yeye sio roboti.
Hapa kwetu nakumbuka wakati nipo chuo kuna hii kampuni inawadhamini simba(hiyo hiyo inayokaa tumboni) jamaa flani walishinda hawakupewa pesa yote, ilikuwa hivi waliweka mkeka online then waka screenshot halafu mechi zilipoisha wakakuta wameliwa. Kuangakia vizuri kuna mechi wao hawakuziweka zimebadilishwa wakawekewa zilizo zingua. Wakafatilia wakapewa hela kidogo tena kwa mbinde sana.
Why nakupa hii, kuna IT yupo kampuni moja maarufu hapa Tanzania anasema huwa ndio michezo kubadilisha timu hasa kama umeweka mkeka wa timu 30 au hata 50 wengine, hapo wanakuwa na imani huzikumbuki zote, lakini hata ukikumbuka wana nguvu ya mfumo unachoonesha huwezi washitaki.
So kama wewe umewekeza ku bet online hakikisha unatoa copy ya mkeka wako iwe screenshot au record ila hakikisha uko makini jamaa hawataki kuliwa sasa hivi.
Nadhani wana shida kwenye mtandaoTatizo tu ku withdraw jamaa wananisumbua sana
Ndani ya dakika 5, zaidi ya hapo kutakuwa kuna shida ya mtandaohivi kudeposit inachukua muda gani paka hela isome kwenye acc, maana nimetuma pesa af sio salio kwenye acc ya paripesa
Sasa una akili timamu utaibetia Roma hivi watu mbona hamjielewi hivi wewe Kwa akili Yako Roma mwisho kuiona ikiwa bingwa wa serie a ni lini nyie ndio wazee wa jero jero kubetia majina Ili mule millionNa Roma ya itali je',,,,, nipe maujanja fundi wa mikeka
π€£π€£π€£ We jamaa haya bhana mi niliyakanyaga hii wiki na huwa cweki dau dogo ,,,,,Sasa una akili timamu utaibetia Roma hivi watu mbona hamjielewi hivi wewe Kwa akili Yako Roma mwisho kuiona ikiwa bingwa wa serie a ni lini nyie ndio wazee wa jero jero kubetia majina Ili mule million
Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kuweka pesa nyingi Kwa timu ambayo Haina mawazo ya ubingwa wewe unaweka jero jeroπ€£π€£π€£ We jamaa haya bhana mi niliyakanyaga hii wiki na huwa cweki dau dgo ,,,,,