Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Mkuu nalinganisha sportybet na hizi zingine kuanzia kwenye markets mpaka limit ya ushindiMzee acha uongo sporty bet ndio kampuni ambayo Haina utapeli ukilinganisha na hayo makampuni Yako ya kirudi Kila mda huduma za withdrawal zinatolewa mara zinarudishwa si uswahili tu hup hamna lolote Kuna jamaa aliwin million 50 akaanza kuuliza mambo ya vitambulisho vya taifa wakati sportybet hamna hizo mambo siwezi kuweka pesa yangu kampuni ya mrusi hata siku Moja sporty bet ndio kampuni ya uhakika Kwa upande wangu
Kuhusu kuwithdraw inawezekana unachosema na hata pengine kimewahi kutokea sana sportybet(rejea kilichotokea last year kwa wanaijeria)
Lakini hizi kama nilichosema changamoto yake kubwa ni systems zao kutosomana vizuri na mitandao yetu(inatokeaga hata kudeposit tu kwa mpesa haiwezekani, Wala sio kwenye withdraw tu)
Kuna jamaa yangu yeye ni kama baba levo huwa anatupia stake kubwa mno, kuanzia mil 50 na kuendelea bado hakupata changamoto