Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mzee acha uongo sporty bet ndio kampuni ambayo Haina utapeli ukilinganisha na hayo makampuni Yako ya kirudi Kila mda huduma za withdrawal zinatolewa mara zinarudishwa si uswahili tu hup hamna lolote Kuna jamaa aliwin million 50 akaanza kuuliza mambo ya vitambulisho vya taifa wakati sportybet hamna hizo mambo siwezi kuweka pesa yangu kampuni ya mrusi hata siku Moja sporty bet ndio kampuni ya uhakika Kwa upande wangu
Mkuu nalinganisha sportybet na hizi zingine kuanzia kwenye markets mpaka limit ya ushindi
Kuhusu kuwithdraw inawezekana unachosema na hata pengine kimewahi kutokea sana sportybet(rejea kilichotokea last year kwa wanaijeria)
Lakini hizi kama nilichosema changamoto yake kubwa ni systems zao kutosomana vizuri na mitandao yetu(inatokeaga hata kudeposit tu kwa mpesa haiwezekani, Wala sio kwenye withdraw tu)

Kuna jamaa yangu yeye ni kama baba levo huwa anatupia stake kubwa mno, kuanzia mil 50 na kuendelea bado hakupata changamoto
 
Sina haha ya kuhamia huko sababu option ninazobetia zipo sportybet na nafurahia kuwa sportybet sitaki habari za kuweka pesa sehemu halafu nihofie mara wanaweza kutoa njia za kuwithdraw Mimi sitakagi konakona
Tatizo la sportybet ni limit ya pesa waloyoweka. Mwisho mil 90
Wale wa kujilipua mpunga mrefu haiwezekani
 
Mil 90 ndogo mkuu?
Kwenye ulimwengu wa bet ni pesa ndogo Sana. Ukiona stake anazoweka drake za mabilioni ndio utaelewa kuwa mil 90 ni ndogo

Alafu hiyo mil 90 ni kwenye winning, Ila kudeposit haiwezekani na Wala mistake haiwezekani. Sasa fikiria wale wa kuweka pesa ndefu mfano mil 50, mil 100, wao huko wanafananyaje? Usifikiri watu wote wanaweka buku
Bro Kuna watu wanaweka mzigo hapa bongo acha kabisa. Stake za mil 50 kumpa Madrid ashinde ni kawaida kwao
 
Kweli hatari sana sisi pangu pakavu stake kubwa ni elfu 20
 
Mkuu nalinganisha sportybet na hizi zingine kuanzia kwenye markets mpaka limit ya ushindi
Kuhusu kuwithdraw inawezekana unachosema na hata pengine kimewahi kutokea sana sportybet(rejea kilichotokea last year kwa wanaijeria)
Lakini hizi kama nilichosema changamoto yake kubwa ni systems zao kutosomana vizuri na mitandao yetu(inatokeaga hata kudeposit tu kwa mpesa haiwezekani, Wala sio kwenye withdraw tu)

Kuna jamaa yangu yeye ni kama baba levo huwa anatupia stake kubwa mno, kuanzia mil 50 na kuendelea bado hakupata changamoto
Leta hiyo mikeka yake vinginevyo ni chai uweke million 50 bongo hii kwenye kampuni za mrusi ambazo hazitabiriki leta mikeka yake la sivyo ni chai
 
Mkuu mimi siyo tapeli. Na siwezi kukimbia hapa. Kuniita tapeli umeenda mbali sana. Ulijaza taarifa zako kikamilifu? Namaanisha baada ya kujisajili, ulienda kujaza profile yako, ambayo inakutaka u verify namba yako au email? Ulijaza mkoa unakotoka nk?
Watu hawasomi maelezo vizuri. Mimi niliweka pesa pari pesa kupitia namba ya voda. Nikaweka mkeka ukatiki nilipokwenda kutoa voda haikua miongoni mwa namba za kutolea. Wakanipa maelekezo nikafuata nikaitoa pesa kupitia namba ya Airtel.
 
-5qpi61.jpg

GAME ZA USIKU ZA BASEBALL ⚾⚾ KWENYE PARIPESA. AMKA NA USHINDI.

Bet PARIPESA. Kama huna akaunti ya PARIPESA jisajili kwenye link hizo hapo chini. 👇👇

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE WEKA 👉👉 TIPS2424 UPATE BONUS YA KUBETIA.

Booking Code: 9651Z
 
Back
Top Bottom