Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1.1 MILLION BOOM ON PARIPESA πŸ’°βœ…βœ…πŸ”₯πŸ€‘πŸ€‘πŸ”₯πŸ’°πŸ’°.

2+ ODDS ON PARIPESA BOOOM βœ…πŸ”₯βœ…πŸ’°πŸ’°πŸ€‘πŸ€‘

500000 TO 1100000 Bagged πŸ’°πŸ’°πŸ€‘πŸ€‘.

Unapata Code hizi kama tu unatumia PARIPESA. Kama huna akaunti ya PARIPESA jisajili hapa, Tumia Promo Code TIPS2424 πŸ‘‡πŸ‘‡.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODEπŸ‘‰πŸ‘‰ TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 wakati wa kujisajili ili upate bonus ya mpaka TZS 250000 ambayo utaitumia kwa kubetia.
 
Hizo bet mwenyewe
Nyinyi hamfai kujiita wakamaria. Wakamaria gani wana mioyo lege lege, wanajikatia tamaa mapema hivi? Mkamaria ni risk taker siyo mambo yanapokuwa magumu anatafuta barabara isiyo na makorongo ya kukimbilia. Kweli nyinyi ni risk takers?
 
Wewe ni mwanamke! Nilikua anakujibu vizuri unapoendea utanikoma! Wewe sio mkamaria bali ni chawa! Mimi nina eti sana miaka Sema Nitaanza rasmi leo kutupia codes humu,
UGALI WAKO UNAUPATIA HUMU LAZIMA UWE NA HASIRA
 
Nyinyi hamfai kujiita wakamaria. Wakamaria gani wana mioyo lege lege, wanajikatia tamaa mapema hivi? Mkamaria ni risk taker siyo mambo yanapokuwa magumu anatafuta barabara isiyo na makorongo ya kukimbilia. Kweli nyinyi ni risk takers?
Bet mwenyewe kwani nani kakuambia hajui kuchambua game humu Kila mtu anajua anachokifanya Sasa unalazimishaje mtu abet mikeka yako mshamba wewe
 
Mkuu tupia Code leo hii. Na vipi tunaenda na Sportybet au PARIPESA au Betpawa? Kuhusu kuniajiri usijali mkuu. Wasio na kazi wapo wengi sana mtaani, waajiri.
Nimependa CV yako ya kudanganya watu, nitakuajiri sportybet
 
Bet mwenyewe kwani nani kakuambia hajui kuchambua game humu Kila mtu anajua anachokifanya Sasa unalazimishaje mtu abet mikeka yako mshamba wewe
Mkuu usisahau kutupia Code za Sporty turuke nazo leo.
 
Sportybet hawana uwezo wa kuniajiri mimi. Na wewe kama wamekuajiri Sportybet basi na wasiwasi utakuwa huwapi matokeo yanayofanana na mshahara wanaokulipa😎.
Huku utafanya part time, mimi naingia leo ofisini
 
Wewe unaumwa kweli kampuni inaidhamini Madrid wewe ndio uje uipeleke levo nyingine
Mkuu mimi nita Play part yangu ipasavyo. Wewe unanifahamu vizuri? Unajua uwezo wangu wa ndani? Unajua na vipaji vyangu? Kwani walioifikisha Sportybet hapo ilipo ni watu tofauti na mimi au wao wametoka kwenye nyekundu?
 
Wakuu c tunasubiri code
 
Mkuu mimi nita Play part yangu ipasavyo. Wewe unanifahamu vizuri? Unajua uwezo wangu wa ndani? Unajua na vipaji vyangu? Kwani walioifikisha Sportybet hapo ilipo ni watu tofauti na mimi au wao wametoka kwenye nyekundu?
Wewe huna uwezo Wala kipaji chochote Cha kUWEZA kuitangaza sportybet kama inavyotangazwa na real Madrid duniani
 
Wewe huna uwezo Wala kipaji chochote Cha kUWEZA kuitangaza sportybet kama inavyotangazwa na real Madrid duniani
Mkuu ongea na mabosi wako wa Sportybet, waambie wanitafute tufanye kazi. Tuipeleke kampuni kunakotakiwa. Uwezo wangu utaonekana nikianza kazi. Shida ni je wataweza kufuata masharti yangu?

Hii kampuni bado changa. Afrika ipo kwenye Nchi 6 tu hivyo inahitaji kupelekwa kwenye Nchi nyingine 50+ za Africa na huko duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…