Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo Yanga anawapa hela wenye mitaji mikubwa ndo amebaki mwenye uhakika
Ndiyo Yanga yupo kwenye form lakini haimanishi kwamba ataweza kuperform vizuri kwenye kila mechi. Ni sawa na Atletico Madrid jana na Real Madrid alipo Cheza na Mallorca. Je, hamjasahau simanzi aliyoleta jana Azam humu mpaka watu kukiri kuapa kutoibetia tena?
Betting ni ngumu ndiyo maana hata wataalamu wa kuchambua michezo hushindwa kushinda kwa sababu hawajui kitakacho tokea.

Anyway tusubiri Tips za leo.
 
Leo tutakuwa na Mkeka Wa odds 2 - 11, wa odds 3, odds 2 na odds 1.90. Odds zote hizo kwenye PariPesa. Kama una amini leo tuta mpiga kanji basi Jisajili PARIPESA Kwa Kubonyeza link hii👇

PariPesa

PariPesa

Sehemu Ya Promo Code weka👉 TIPS2424

Betting ni imani. Kama huna imani na betting acha betting. Wengi hukata tamaa kwenye betting kabla hawajashinda ushindi mkubwa, licha ya kuwa wamepoteza pesa nyingi kwenye betting. Mimi sitakata tamaa.
 
MIKEKA YAKO NI HAMNA KITU! KATI YA MITANO UNATIKI MMOJA
 
Ni kweli mkuu, ila umesahau kuwa siku chache zilizopita nimeshinda odds 11 na 10 mfululizo? Na mingine yenye odds 2 - 3, muda si mrefu utabadili mawazo yako. Na hii ndiyo betting mkuu. Wewe niambie nani anapost mikeka 5 anashinda yote kila siku?
SIASIA SITAKI NAJUULISHA UMA KWAMBA SITOBETIA KAMPUNI YAKO! NAJUA WEWE NI CHAWA NA UPO KAZINI SIWEZI KUKUINGILIA KWENYE KAZI ZAKO.
 
Ndiyo Yanga yupo kwenye form lakini haimanishi kwamba ataweza kuperform vizuri kwenye kila mechi. Ni sawa na Atletico Madrid jana na Real Madrid alipo Cheza na Mallorca. Je, hamjasahau simanzi aliyoleta jana Azam humu mpaka watu kukiri kuapa kutoibetia tena?
Betting ni ngumu ndiyo maana hata wataalamu wa kuchambua michezo hushindwa kushinda kwa sababu hawajui kitakacho tokea.

Anyway tusubiri Tips za leo.
Ila watu wengine mnataka kuliwa tuu....sasa wee jkt ilikuwa haijacheza ata mechi moya, azam performance yake dhidi ya yanga apr mashaka alafu unampa mazima 🤣🤣🤣🤣
Tusiendekeze tamaaa pamoja na kwamba mitaji midogo
 
Ndiyo Yanga yupo kwenye form lakini haimanishi kwamba ataweza kuperform vizuri kwenye kila mechi. Ni sawa na Atletico Madrid jana na Real Madrid alipo Cheza na Mallorca. Je, hamjasahau simanzi aliyoleta jana Azam humu mpaka watu kukiri kuapa kutoibetia tena?
Betting ni ngumu ndiyo maana hata wataalamu wa kuchambua michezo hushindwa kushinda kwa sababu hawajui kitakacho tokea.

Anyway tusubiri Tips za leo.
Nakubali nakubali
 
Mkuu mimi nadhani ungekuwa umeongea la maana kama ungesema kuanzia leo hutofuata mikeka yangu, kwa sababu shida inaonekana ni mikeka yangu kutoshinda kila siku. Kama mikeka yangu haishindi kila siku nadhani ilikuwa ni vizuri uwe unajitengenezea mikeka mwenyewe ili ikichana usiwe na mtu wa kumlaumu kwa sababu alitoa Code. Lakini kuhama kampuni eti kisa Code za mtu zilichana. Je huko uendako utakuwa unashinda? Jana umeshinda shilingi ngapi kati ya mikeka yako 3 au 4 uliyobeti tena kwa kampuni yako pendwa?
Bado sijaanza kutengeneza codes zangu nilikua nachukua zako!
Sawa kijana, najua upo kazini siwezi kukupinga.
 
Haya na leo kuna Code za ushindi zipo zitakuja muda si mrefu. Vita yetu ni dhidi ya Kanji. Sisi wote ni wakamaria. Twenzetu na leo mkuu.
Aaaa kimyaa!!! Najua mabosi wako wapo humu jf ujumbe woa ni kwamba kwa hapa wamelikoroga waende Facebook na telegram!! Nakuonea huruma kwakua ndio ugali wako upo humu,
 
Back
Top Bottom