Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
SPORTBETY - SPORTBETY - SPORTBETY
10 ODDS
Code:- 7AA5B1
Nickname:- Clatous Chama
10 ODDS
Code:- 7AA5B1
Nickname:- Clatous Chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pamoja mkuuVizuri Mdau kwa ku edit Ili nisibebe lawama
This is betting with no guarantee
Hakuna aliejua kama Azam atakula 4 kwa Simba au atafungwa na APR
Ila wasi wasi ndio akili ndugu
Akili Yangu inaniambia hii match I'ma over 2.5,goals zipo tu leo za Kutosha
JKT usajili Mzuri,Kina Ndemla,Boko na wengine kibao,huku Azam akirudi kama mbogo
Pia uwanja wa JKT pitch nzuri Sana tu
Tuendelee kuyajenga
Mkuu hiyo ni kwasababu 1xbet haijasajiliwa kufanya kazi TzHuo mfumo ndio wa uswahili Sasa yaani mtu kuweka pesa mpaka wakala yaani wakala awe anajua Mimi nimeweka kiasi gani na nimewithdraw kiasi gani si mambo ya ajabu hapo ndio haya makampuni ya kirusi yanapofeli
Sportybet sio mshirika wa 1xbet.Vipi kuhusu sportybet una lolote la kuongezea
Mkuu mimi natumia zaidi 1xbetUnayoeleza ni huenda ni kweli
Lakini hii experience wapo pia wamepata kwenye hizo zingine mfano sportybet walowahi kuzingua Nigeria mwaka Jana.
Anyway, nilichowapendea Hawa wa kirusi ni wingi wa markets na kutokua na limit ya pesa-kuna bet unaweza weka hata mil 500. Ni we tu
Hawa wengine shida kubwa ni uchache wa markets na limit ya pesa.
Shida kubwa ya hizi za kirusi ni systems zao kutokua vizuri na hizi mobile payments zetu, though bado zinafanya kazi Ila ndio hivyo sometimes it can even a week kukaa sawa
Mkuu asilimia 80 ya wakamalia wanacheza zaidi 1x2, au DCUkapimwe vizuri afya ya akili kama umeiona m bet ipo clean kuzidi sporty bet
Hapao ujue anaitaka hela yajo kwa nguvu yaani kwa hiari imekuwa ngumu.Unakuta game ipo dakika ya 60 halafu yeye ameanza na over 1.5
2x naona inafaa japo sipo kwenye tvWazee wa live game ya azam munashaur option gan nzur
Mechi bado ndo kipindi cha pili Sasa ngoja uone mkuuNmeweka 1.5 over ☹️☹️