nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Faida ya jana wapi wakati lost ni kubwa sana. Maana nilifuata code zako zote kwa kufuata stake zako. Ya kwanza ilikua 610k, ya pili ni 500k, ya tatu ni 350k na ya mwisho ni 500k. Imekuja kutoa ya 100k yenye faida ya 80k. Haya piga hesabu hapo faida ni -1880k.
Yaani jana tu, nimepoteza hiyo hela alafu unawadanganga watu una faida ya 50k.
Kweli wewe wakala wa kanji
Yaani jana tu, nimepoteza hiyo hela alafu unawadanganga watu una faida ya 50k.
Kweli wewe wakala wa kanji
Sasa lengo la kuifagilia Sportybet kuwa huko ni bora kuliko kwa mrusi ni lipi ikiwa kila siku hupati hata 50000? Mimi nimekuuliza mara ya mwisho umeshinda lini odds 5 - 10 kwenye hiyo Sportybet yako? Ukuwadi na unazi wa Sportybet tu unakusumbua. Haya mwenzako leo ni kwa siku ya tano naingiza faida ya 60000+ kwa mtaji wa 100000 tu huko huko PARIPESA. Tazama faida ya jana👇View attachment 3081093