Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Faida ya jana wapi wakati lost ni kubwa sana. Maana nilifuata code zako zote kwa kufuata stake zako. Ya kwanza ilikua 610k, ya pili ni 500k, ya tatu ni 350k na ya mwisho ni 500k. Imekuja kutoa ya 100k yenye faida ya 80k. Haya piga hesabu hapo faida ni -1880k.

Yaani jana tu, nimepoteza hiyo hela alafu unawadanganga watu una faida ya 50k.

Kweli wewe wakala wa kanji
Sasa lengo la kuifagilia Sportybet kuwa huko ni bora kuliko kwa mrusi ni lipi ikiwa kila siku hupati hata 50000? Mimi nimekuuliza mara ya mwisho umeshinda lini odds 5 - 10 kwenye hiyo Sportybet yako? Ukuwadi na unazi wa Sportybet tu unakusumbua. Haya mwenzako leo ni kwa siku ya tano naingiza faida ya 60000+ kwa mtaji wa 100000 tu huko huko PARIPESA. Tazama faida ya jana👇View attachment 3081093
 
Faida ya jana wapi wakati lost ni kubwa sana. Maana nilifuata code zako zote kwa kufuata stake zako. Ya kwanza ilikua 610k, ya pili ni 500k, ya tatu ni 350k na ya mwisho ni 500k. Imekuja kutoa ya 100k yenye faida ya 80k. Haya piga hesabu hapo faida ni -1880k.

Yaani jana tu, nimepoteza hiyo hela alafu unawadanganga watu una faida ya 50k.

Kweli wewe wakala wa kanji
Mkuu wewe jana umestake 600k PARIPESA? Au ulitumia kampuni nyingine?
 
Mkuu mbona lost zinaonekana tu mkuu? Lakini pia mkuu naomba nikuambie kitu kuhusu betting, naomba uwe unaweka stake ambayo upo tayari kupoteza. Usimfuate mtu maana tuko tofauti. Mimi kuanzia Jumamosi mpaka Juma tatu niliingiza faida ya milioni 8 kwenye betting, kwa hiyo usishangae nikistake 850000 au 1000000 kwa sababu najua ndani ya siku mbili au wiki nitampiga mhindi parefu
 
Nimetumia paripesa. Lost ni 500k, 610k, 350k na 500k. Hizo ni lost. Nimekuta won ya 100k yenye faida 80k.

Ndio maana nimekwambia uwe unatuma na lost sio won pekee kuwavuta watu paripesa
Mkuu ujue kwa siku naandaa mikeka 4 ya PARIPESA. Wa mwisho huwa ni Mkeka Wa Usiku. Chagua Mkeka mojawapo uwe unacheza. Kwa kuanza naomba anza kwa kucheza Mkeka Wa kutafuta faida ya kuanzia 50000 kwa mtaji wa 100000. Au kama nafasi ipo unaweza Bet mikeka yote kwa kiwango unacho ona kinafaa. Always stake what you can afford to lose, not more than that.
 
Sawa ila usitambe kuwa jana ulilaza faida ya 80k wakati una lose ya mil na laki nane.

Hapa ndipo ninapoogopa mimi kuwa huenda unawavutia watu kwenye hiyo kampuni wewe ni wakala wao
 
Mkuu niliongelea faida ya 80k kwa sababu huo mkeka unajitegemea. Mtu anaweza kuchagua awe anacheza Mkeka Wa 100000 tu ili apate faida hiyo ya 50k na asicheze ticket nyingine. Pia hiyo lost nitarudisha ndani ya leo na kesho. Au ndani ya wiki hii hii nitampiga kanji parefu tu.
 
Emu acheni kulumbana wazee, leteni code tutie mzigo. Wewe uliona wapi betting ikawa na uhakika wa asilimia zote?, ndiyo maana wanasema weka kile kiasi unachoweza kumudu kukipoteza 😎
Hatukatai, ila asionyeshe won pekee. Hata lost awe anaonyesha.

Tafsiri ya kuonyesha won pekee, maana yake anawavutia watu kujiunga na paripesa ndio maana analeta code za paripesa pekee.

Mimi jana nimefuata code zote 5, ila imetoa 1 tu. Hiyo ndiyo anayotamba nayo ili kuwavuta wengine.

Ushauri wangu, tuwe makini na wanaoonyesha won ticket huku wakipromote kampuni ya kubetia.

Kama tunabet, tuma ticket haina haja ya kuonyesha won. Ikipata sawa, ikikosa sawa
 
Mkuu uzuri ni kwamba ni kawaida ya binadamu kushangilia ushindi wowote hata kama ni ushindi kiduchu. Hakuna binadamu anaye furahia kupoteza, na ndiyo sababu mtu akishinda hata 100 atashangilia. Na hii ipo ndani ya kila binadamu. Kwa hiyo tunapost ushindi kwa sababu unatupa furaha kuliko makosa yetu.
 
Nilijua paripesa hamnaga lost kumbe Jana mmelost sababu ni kampuni ya kirusi Ina option nyingi🤣🤣🤣

Loss zipo ila siyo kama huko Sportybet mnakosifia kuwa kuko vizuri. Nimeuliza mara ya mwisho mmeshinda lini odds 5 - 10 huko Sportybet?
 
Sasa odds zote za nini Mimi hizo mzee Mimi natafuta timu yangu Moja natia mzigo wa maana labda wewe ndio unalost hovyo sporty bet
 
Ndiyo uwe una share code hapa tuwe tunaruka nazo. Siyo kusema mnatia mzigo na mnashinda wakati hatuoni Code mnazoweka wala ushindi. Wekeni Code ili na sisi wenzenu tuwe TUNASHINDA
 
Back
Top Bottom