Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

naona mikeka yako karibu yote game ya Jkt vs Azam umeipa over 1.5 goal.
vp azam akishinda 1 kwa bila?
utakuwa umeachana yote..
nimeifata mikeka yako lakini nimechambua baadhi ya mechi.
nashukuru..
Hawezi kushinda huyo kashazingua
 
Azam kaniharibia kwa ajili ya kuokoteza mechi za mapema nimeokota kweli.
Pumbaf azam sikubetii tena.
Msimu huu ushike nafasi ya tano.
 
LEO TUTAKUWA NA MKEKA WA USIKU WA BASEBALL⚾⚾ WENYE ODDS 2-3 KWENYE PARIPESA. USIKOSE KUCHEZA, NAONA KUNA HELA.

Kama huna akaunti ya PARIPESA, tengeneza akaunti yako ya PARIPESA Mapema, Deposit hata 20000 mpaka 100000 kisha subiri Code. Jisajili Hapa 👇👇

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE👉👉 TIPS2424

Weka Promo Code TIPS2424 wakati wa kujisajili ili upate ambayo utaitumia kwa kubetia mikeka mingine.
Screenshot_20240122-185730_1.jpg
 
Mkuu mimi natumia zaidi 1xbet
Kuna wakati tulikua hadi tuna deposit/withdraw kwa Bitcoins kwasababu ya machaguo mengi na rahisi kutumia

Mkuu 1xbet wana limit pia kutokana na hadhi ya game/league
Ligi zote za kichovu kama ligi zetu za Bongo wana limit stake kwasababu ni rahisi kupanga matokeo
Uzuri ni kwamba kabla hujabet wanakuonyesha kabisa kiwango cha chini na cha juu cha stake unaweza kustake

Jaribu kuangalia ligi daraja la kwanza Tz uone maximum stake ni sh ngapi ukilinganisha na EPL
Nadhani hujanielewa namaanisha kuna games nyingi unaweza kubet kiasi kikubwa cha pesa(zaidi ya mil 100) lakini kitu kama hicho huwezi kukuta kwenye kampuni zingine
 
Azam kwaheri ya kuonana!
kaondoka na mtaji wote nilioupata wiki nzima.......

hii timu ni bonge la hasara, yani hata kagoli kamoja kweli?
 
Azam kwaheri ya kuonana!
kaondoka na mtaji wote nilioupata wiki nzima.......

hii timu ni bonge la hasara, yani hata kagoli kamoja kweli?
Ungeirinda japo ata kwa double chance, Azam game alikuwa hapigwi Kuna draw au ashinde goli
 
Paripesa wa kautapeli ukiwin Pesa.Hapo nifanye nini?
 

Attachments

  • Screenshot_20240828-061346~2.png
    Screenshot_20240828-061346~2.png
    95.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240828-061212~2.png
    Screenshot_20240828-061212~2.png
    90.4 KB · Views: 4
Qarabag chama langu sana hawaniangushi ila msimu huu mh siwasomi mwendo wa loss tu, chama lingine leverkusen japo wameshinda lkn najua watakua wamechana mikeka ya wakamalia wengi wa over, HT/FT, handcap
 
Screenshot_20240828-212354_1.jpg

BASEBALL ⚾⚾ GAMES ON PARIPESA. WAKE UP TO BOOM ON PARIPESA.

Jisajili na Bet Katika PARIPESA. Jisajili Kwenye Link Hizo Hapo Chini. 👇👇

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE👉👉 TIPS2424

Weka Promo Code👉 TIPS2424 upate bonus ya mpaka TZS 250000 ambayo utaitumia kwa kubetia.


Booking Code: 8TX79
 
Back
Top Bottom