Ndiyo Yanga yupo kwenye form lakini haimanishi kwamba ataweza kuperform vizuri kwenye kila mechi. Ni sawa na Atletico Madrid jana na Real Madrid alipo Cheza na Mallorca. Je, hamjasahau simanzi aliyoleta jana Azam humu mpaka watu kukiri kuapa kutoibetia tena?Leo Yanga anawapa hela wenye mitaji mikubwa ndo amebaki mwenye uhakika
Betting ni ngumu ndiyo maana hata wataalamu wa kuchambua michezo hushindwa kushinda kwa sababu hawajui kitakacho tokea.
Anyway tusubiri Tips za leo.