Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Siku 3 mfululizo najiunga ila hamna kitu. Mikeka yangu binafsi yenyewe haijawahi kufeli hivi.Pole kwa kuchana
Pole sanaSiku 3 mfululizo najiunga ila hamna kitu. Mikeka yangu binafsi yenyewe haijawahi kufeli hivi.
Nimetengeneza usiku huu huu naona unaenda fresh, dakika chache zijazo naagiza glass ya winePole sana
Kesho utengeneze mwenyewe
Usinisahau japo ya bandoNimetengeneza usiku huu huu naona unaenda fresh, dakika chache zijazo naagiza glass ya wine
Hizo nguvu mngetumia kwenye uzalishaji..Hawa jamaa wanaojiita Salamba Tv wana huduma ya kuuza mikeka wanayodai ni ya uhakika na kwamba kati ya siku 5 huwezi kosa siku 4.
Nimejaribu mara kadhaa (nilihisi wanapata access ya fixed match) lakini hawa nao wanabet kama mimi na wewe kibaya zaidi mikeka yao ni yahovyo kupita kiasi.
Kama unabet nivema ufanye analysis mwenyewe.