Hiyo chelsea ni both team to score au?Odds 9
Msaada kwenye..hili
Msaada kwenye..hili
1x&0-3
Maana yake nin...nmeona kazi kurudi nyuma kupekuwa inamaana gani kama ujua naomba maelezo kidogo tuu ili niweke kumbukumbu sawa[/Q
Timu ya nyumban isinde au ipate sare na pia magoli yasizid 3 kwenye mechi hiyo
Yes--both team scores/ GGHiyo chelsea ni both team to score au?
mh... zamaleck kwa enyimbazamalek, chelsea, aalborg, starjam all win all the best
tupo tunakuja ... Nilikua msituni kuna vitu naviweka sawaWakongwe mko wapi raimundo rahim baharia rockcity native etc
Premier hawarudishi mimi mwenyewe nimesha wahi kosea reference namba malipo yalifanyika nazan ela ilienda kwenye A/C ya mtu mwngneivi wakuu inakuwaje ukiwa MTU umekosea reference no afu ukajastuka ushalipia(premier) VP kuna uwezekano hela ikarudi kweli. Maana naonaga M Bet ukikosea wanairudisha.
Mi wamewahi nirudishia ..baada ya kama wiki na upuuuzi tena baada ya kuwatumia email na kuwaambia ntawashitaki ....Premier hawarudishi mimi mwenyewe nimesha wahi kosea reference namba malipo yalifanyika nazan ela ilienda kwenye A/C ya mtu mwngne
Naulizia jinsi ya kutumia bonus kwenye mkeka bet hyo voucher code unaipata wap.
Msaada inahitajika jamani
0655112222 0745100777 hizoapo, sorry coz nilikuwa msculiJaman meomba msaada kwa anaejua namba ya mkekabet ile 15.... Nimeisahau plll,
Bofya iyo "my acount" Ina option ya kuwithdral
Mkeka wa Leo
Rakvere JK Tarvas= 2X
Brazil=win
Dinamo moskva=win
Fc TPS Turku=win
Dundark=1X
Jk nomme karju=win
Vaprus parnu=2X
Jk maag tammeka=2X
Shamrock rovers=win