Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Duuh kuna salio langu aka mtaji nimeweka tangu saa 3 asubuhi, Bora hata wangesema chochote maana deposit inakubali na kufanya machaguo pia ila ikifika hapo "PLACE A BET", ngoma ni "PROCESSING" na wamenitia hasara ya kununua bundle nikadhani internetMi wanasema nchi imewastopisha ama natumia vpn ntoe sijui hata hio vpn nahisi mtandao mpwaa ama wamepigwa wanapunguza vipigo
Kwenye nnNaona 1xbet wameanza kututwanga kodi sasa
😅😅😅 Acha. ACHA kabisa kubetia timu za taifa. Kule ni vururu vururu unpredictable.ila kusema ukweli tim za taifa kama nina mikosi nazo...nikiweka hivi inatoa vile...bora nisubiri ligi tuh dah
Wanakata 10% ya ushindi utakao kulaKwenye nn
Hivi kuna uwezekano wa kudeposit 1xbet kupitia MPESA?Naona 1xbet wameanza kututwanga kodi sasa
Angalia salio ft chamberWAZEE WA DRW
TWENDE TENA
FT X
CHAMBLY
3.00
ALLDBEST
Team za taifa jau ndugu yangu, juzi spain kanichania ,jana france nlimpa over 1.5 kachana, juzi tena nikaweka under 2.5 1H kati ya mreno na mcroatia mshenzi dalot akajifunga dk ya 41 akaend na 15k yanguila kusema ukweli tim za taifa kama nina mikosi nazo...nikiweka hivi inatoa vile...bora nisubiri ligi tuh dah
Kwasasa hakuna mkuuHivi kuna uwezekano wa kudeposit 1xbet kupitia MPESA?