Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Duuh kuna salio langu aka mtaji nimeweka tangu saa 3 asubuhi, Bora hata wangesema chochote maana deposit inakubali na kufanya machaguo pia ila ikifika hapo "PLACE A BET", ngoma ni "PROCESSING" na wamenitia hasara ya kununua bundle nikadhani internetMi wanasema nchi imewastopisha ama natumia vpn ntoe sijui hata hio vpn nahisi mtandao mpwaa ama wamepigwa wanapunguza vipigo