Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kilichonifanya niweke pesa kwenye paripesa leo cjui ni shetani gani

Tangu asubuhi mpk sasa hawajaweka pesa dah
 
Ila mawakala wa 1xbet sometimes vichefuchefu sana

Toa saa 2 hadi sasa wakala anasua sua kunilipa 75k tu

Paripesa ukiweka hela hazifiki
Helabet hakuna option ya kutoa kwa simu

Hizi kampuni za kirusi zinazingua sana wakati mwingine
 
SPORTBETY SPORTBETY SPORTBETY

ODDS: 5

CODE:- E4111CD

Nickname:- OKEJEPHA

Staking: Tsh: 10,000++

Screenshot_20240907-122029.png
 
Mkuu Cash Out sio nyepesi kama unavyodhania

Cash out haiji tu kwasababu labda katika game 20 game 18 zimetoa bado game mbili.... NOPE

Odds huwa zinawakilisha asilimia ya ushindi, Odd kubwa maana yake asilimia ndogo ya kushinda na odd ndogo maana yake asilimia kubwa ya kushinda.
ili upate cash out nzuri ni lazima game zilizobaki ziwe na asilimia kubwa ya kushinda ndio utapewa cash out nzuri vinginevyo hupata au itakuja ndogo sana

Mfano katika game 2 zilizobaki kati ya game 20 kuna game ya Yanga Vs Dodoma halafu wewe ulichagua dodoma ashinde odd 6...... hapo sahau kupewa cash out maana asilimia za Dodoma kushinda ni ndogo sana
Lakini kama ulimpa Yanga win odd 1.2 hapo utapewa cash out nzuri

Na msingi wa cash out ni kumshawishi mkamalia kulipwa kidogo ili asiache mkeka wote ukatoa akalipwa parefu pale mkeka unapokua na nafasi kubwa ya kushinda....... huu ndio MSINGI wake zingine ni mbwembwe tu.

Kwanza kupata tu hiyo cash out kwa mkeka wa game nyingi sio shughuli ya kitoto ujue
Utakuta game ya kwanza tu au ya pili mkeka chaliiii😂 halafu kuanzia hapo game zote zinatoa 😳

Sidhani kama ni sahihi kudhani kwamba eti cash out ndio kikwazo cha kumpiga bookies
Umeandika pumba tupu hujui ninachokiongea
 
Ila mawakala wa 1xbet sometimes vichefuchefu sana

Toa saa 2 hadi sasa wakala anasua sua kunilipa 75k tu

Paripesa ukiweka hela hazifiki
Helabet hakuna option ya kutoa kwa simu

Hizi kampuni za kirusi zinazingua sana wakati mwingine
Hahaha unawekaje pesa kwenye hayo makampuni au ndio kukimbia kulipa Kodi🤣🤣🤣🤣
 
Ila mawakala wa 1xbet sometimes vichefuchefu sana

Toa saa 2 hadi sasa wakala anasua sua kunilipa 75k tu

Paripesa ukiweka hela hazifiki
Helabet hakuna option ya kutoa kwa simu

Hizi kampuni za kirusi zinazingua sana wakati mwingine
Tumia betwinner kuweka kwa simu kwa tigopesa ni bure wako vizuri pesa inafika kwa wakati option zote za 1xbet unazipata
 
Haya makampuni ya kubet usipokua makini unapigwa huku unajiona, angalia hapo BETPAWA walichokifanya wamebadilisha timu makusudi yani timu ya nyumbani wameipeleka ugenini na ya ugenini wameiweka nyumbani. Naingia livescore sasahivi ndo naona kinachoendelea kwahiyo kama ulimpa wa ugenini ashinde au wanyumbani ashinde inakula kwako
 
Attachments

  • Screenshot_20240907_124218_Flashscore.jpg
    Screenshot_20240907_124218_Flashscore.jpg
    44.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240907_124236_Chrome.jpg
    Screenshot_20240907_124236_Chrome.jpg
    67.6 KB · Views: 4
Haya makampuni ya kubet usipokua makini unapigwa huku unajiona, angalia hapo BETPAWA walichokifanya wamebadilisha timu makusudi yani timu ya nyumbani wameipeleka ugenini na ya ugenini wameiweka nyumbani. Naingia livescore sasahivi ndo naona kinachoendelea kwahiyo kama ulimpa wa ugenini ashinde au wanyumbani ashinde inakula kwako
Wanaangalia jina la timu sio home ama away
 
Ila mawakala wa 1xbet sometimes vichefuchefu sana

Toa saa 2 hadi sasa wakala anasua sua kunilipa 75k tu

Paripesa ukiweka hela hazifiki
Helabet hakuna option ya kutoa kwa simu

Hizi kampuni za kirusi zinazingua sana wakati mwingine
Hili ndo limenikuta hapa,,, paripesa tangu asubuhi hawajaweka Salio kwenye wallet,,,, walimambia ndani ya masaa matatu mpk sasa masaa manne,,,,,,
Sa cjui ndo niandikie hasara bin wamenikwapua
 
Nani ana namba ya wakala wa uhakika jamani nataka nitoe kahrla kangu ka supu
 
Hili ndo limenikuta hapa,,, paripesa tangu asubuhi hawajaweka Salio kwenye wallet,,,, walimambia ndani ya masaa matatu mpk sasa masaa manne,,,,,,
Sa cjui ndo niandikie hasara bin wamenikwapua
Wataweka lakini ndio hadi maumbuane sana
 
Hili ndo limenikuta hapa,,, paripesa tangu asubuhi hawajaweka Salio kwenye wallet,,,, walimambia ndani ya masaa matatu mpk sasa masaa manne,,,,,,
Sa cjui ndo niandikie hasara bin wamenikwapua
Hizo kampuni za kirusi bila kusumbua wateja hazipatagi furaha yaani wao furaha Yao ni kusumbua wateja
 
Back
Top Bottom