blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,188
- 2,897
Kilichonifanya niweke pesa kwenye paripesa leo cjui ni shetani gani
Tangu asubuhi mpk sasa hawajaweka pesa dah
Tangu asubuhi mpk sasa hawajaweka pesa dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuoneshe hiyo m 11 ili tuzidishe maombiJaman nilianzisha mpango wa rollover niliowai kufafanua humu. Jana nimefikia 11.3m, lakin sidhan kama 30m ninapolenga nitafika mana roho inataka kunyofoka! Tumbo linawaka moto! Kwa ajir ya kunusuru afya yangu ya akili itabid ni withdraw.
Umeandika pumba tupu hujui ninachokiongeaMkuu Cash Out sio nyepesi kama unavyodhania
Cash out haiji tu kwasababu labda katika game 20 game 18 zimetoa bado game mbili.... NOPE
Odds huwa zinawakilisha asilimia ya ushindi, Odd kubwa maana yake asilimia ndogo ya kushinda na odd ndogo maana yake asilimia kubwa ya kushinda.
ili upate cash out nzuri ni lazima game zilizobaki ziwe na asilimia kubwa ya kushinda ndio utapewa cash out nzuri vinginevyo hupata au itakuja ndogo sana
Mfano katika game 2 zilizobaki kati ya game 20 kuna game ya Yanga Vs Dodoma halafu wewe ulichagua dodoma ashinde odd 6...... hapo sahau kupewa cash out maana asilimia za Dodoma kushinda ni ndogo sana
Lakini kama ulimpa Yanga win odd 1.2 hapo utapewa cash out nzuri
Na msingi wa cash out ni kumshawishi mkamalia kulipwa kidogo ili asiache mkeka wote ukatoa akalipwa parefu pale mkeka unapokua na nafasi kubwa ya kushinda....... huu ndio MSINGI wake zingine ni mbwembwe tu.
Kwanza kupata tu hiyo cash out kwa mkeka wa game nyingi sio shughuli ya kitoto ujue
Utakuta game ya kwanza tu au ya pili mkeka chaliiii😂 halafu kuanzia hapo game zote zinatoa 😳
Sidhani kama ni sahihi kudhani kwamba eti cash out ndio kikwazo cha kumpiga bookies
Hahaha unawekaje pesa kwenye hayo makampuni au ndio kukimbia kulipa Kodi🤣🤣🤣🤣Ila mawakala wa 1xbet sometimes vichefuchefu sana
Toa saa 2 hadi sasa wakala anasua sua kunilipa 75k tu
Paripesa ukiweka hela hazifiki
Helabet hakuna option ya kutoa kwa simu
Hizi kampuni za kirusi zinazingua sana wakati mwingine
Kodi wameiweka kihuni tuHahaha unawekaje pesa kwenye hayo makampuni au ndio kukimbia kulipa Kodi🤣🤣🤣🤣
Tumia betwinner kuweka kwa simu kwa tigopesa ni bure wako vizuri pesa inafika kwa wakati option zote za 1xbet unazipataIla mawakala wa 1xbet sometimes vichefuchefu sana
Toa saa 2 hadi sasa wakala anasua sua kunilipa 75k tu
Paripesa ukiweka hela hazifiki
Helabet hakuna option ya kutoa kwa simu
Hizi kampuni za kirusi zinazingua sana wakati mwingine
Karibu MegapariKodi wameiweka kihuni tu
Hii kampuni haijasajiliwa bongo wanatuletea huni wao tu
Sijui nihamie kampuni gani yenye machaguo mengi kama yao
Wanaangalia jina la timu sio home ama awayHaya makampuni ya kubet usipokua makini unapigwa huku unajiona, angalia hapo BETPAWA walichokifanya wamebadilisha timu makusudi yani timu ya nyumbani wameipeleka ugenini na ya ugenini wameiweka nyumbani. Naingia livescore sasahivi ndo naona kinachoendelea kwahiyo kama ulimpa wa ugenini ashinde au wanyumbani ashinde inakula kwako
Wakoje mpwaaKaribu Megapari
Hawa nao ndio walewale mkuuKaribu Megapari
Same to 22bet 1xbet Paripesa helabet betwinner nkWakoje mpwaa
Hili ndo limenikuta hapa,,, paripesa tangu asubuhi hawajaweka Salio kwenye wallet,,,, walimambia ndani ya masaa matatu mpk sasa masaa manne,,,,,,Ila mawakala wa 1xbet sometimes vichefuchefu sana
Toa saa 2 hadi sasa wakala anasua sua kunilipa 75k tu
Paripesa ukiweka hela hazifiki
Helabet hakuna option ya kutoa kwa simu
Hizi kampuni za kirusi zinazingua sana wakati mwingine
Uliweka Bei ganiHili ndo limenikuta hapa,,, paripesa tangu asubuhi hawajaweka Salio kwenye wallet,,,, walimambia ndani ya masaa matatu mpk sasa masaa manne,,,,,,
Sa cjui ndo niandikie hasara bin wamenikwapua
Wataweka lakini ndio hadi maumbuane sanaHili ndo limenikuta hapa,,, paripesa tangu asubuhi hawajaweka Salio kwenye wallet,,,, walimambia ndani ya masaa matatu mpk sasa masaa manne,,,,,,
Sa cjui ndo niandikie hasara bin wamenikwapua
Hizo kampuni za kirusi bila kusumbua wateja hazipatagi furaha yaani wao furaha Yao ni kusumbua watejaHili ndo limenikuta hapa,,, paripesa tangu asubuhi hawajaweka Salio kwenye wallet,,,, walimambia ndani ya masaa matatu mpk sasa masaa manne,,,,,,
Sa cjui ndo niandikie hasara bin wamenikwapua