Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hayawi hayawi sasa yamekuwa!

Kampuni ya kirusi ya 1xbet wameanza kukata kodi ya 10% katika mikeka hapa Tanzania.

Kwa mtindo huu, kampuni hii itapoteza baadhi ya wateja waliokuwa wanaitumia kwa kutokatwa kodi

Wadau wa 1xbet mtakimbilia wapi?
Hahahahah sasa waweke na mobile payments sasa. Nadhani ndio kilikuwa kinawazuia hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…