Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri ligi tuhTeam za taifa jau ndugu yangu, juzi spain kanichania ,jana france nlimpa over 1.5 kachana, juzi tena nikaweka under 2.5 1H kati ya mreno na mcroatia mshenzi dalot akajifunga dk ya 41 akaend na 15k yangu
Watapata pori jingine, ama kunyoa/kusukaHayawi hayawi sasa yamekuwa!
Kampuni ya kirusi ya 1xbet wameanza kukata kodi ya 10% katika mikeka hapa Tanzania.
Kwa mtindo huu, kampuni hii itapoteza baadhi ya wateja waliokuwa wanaitumia kwa kutokatwa kodi
Wadau wa 1xbet mtakimbilia wapi?
Hahahahah sasa waweke na mobile payments sasa. Nadhani ndio kilikuwa kinawazuia hicho.Hayawi hayawi sasa yamekuwa!
Kampuni ya kirusi ya 1xbet wameanza kukata kodi ya 10% katika mikeka hapa Tanzania.
Kwa mtindo huu, kampuni hii itapoteza baadhi ya wateja waliokuwa wanaitumia kwa kutokatwa kodi
Wadau wa 1xbet mtakimbilia wapi?
Kama ndio hivyo basi Uninstall?,Yes🤣🤣🤣🤣Kwasasa hakuna mkuu
Ukraine inavita ila wabafabya vizurijamani huyu UKRAINE si ana vita huyu au ndo kanji ananitega????
Haya 1X bet anachukua 10% yake alafu hakuna bonus yyt sasa ni kuamia sportybet mazim