Ziko poa tu mkuu. Una Deposit na kutoa kwa mitandao ya simu.tatizo sio kujisajili tatizo njia za kudepost ndio zinaleta njau sana
Kabisa kakaTusubiri ligi tuh
Namfata huu mkekaSPORTBETY SPORTBETY SPORTBETY
ODDS: 2.50
CODE:- A1324F
Nickname:- GAMONDI
High STAKERS: 50,000 kutoa 127,000
20,000 kutoa 50,000
View attachment 3089511
Huwa ndo naitumia mwaka wa 2 sasa, jana kwangu server ilikuwa down ila leo ipo poa kabisagalsport ipo poa sana , natumia mpk muda huuu nimesshaachana na betway kbs
Duuu nimechungulia nowNaona 1xbet nao wameingia kwenye mfumo wa 10%.
Tutafika kweli
Hichi kitu uwa kinaniuma sana. Kula kwenyewe huli alafu wanakuwekea kodi ukila.yaanj ukiliwa unaliwa mwenyewe. Ila ukila wanataka kodiDuuu nimechungulia now
Wameweka kweli...noma sanaa
FT 0_04.00
Ghana
FT DRW
DREAMS
WEKAMZIGOOOO NIKO KWA MASSAWE
Nakomaa na paripesa elfu 50 yangu mpk sasa hajaniwekea tangu asubuhi,,,,,,,Ziko poa tu mkuu. Una Deposit na kutoa kwa mitandao ya simu.
Hajaweka nani mkuu?Nakomaa na paripesa elfu 50 yangu mpk sasa hajaniwekea tangu asubuhi,,,,,,,
Hayo makampuni yenu mnatuingiza chaka aisee