Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

pk ur test
 

Attachments

  • IMG_20240907_172054_367.jpg
    IMG_20240907_172054_367.jpg
    149.8 KB · Views: 4
Yule jamaa aliyempiga mhindi back and forth jina lake ndio hilo kwa twitter, leo amekosa Million 100 timu moja imemharibia wale wazee wa straight WIN muwe mnachungulia kwake hata leo kashusha mkeka mwingine naona ligi zikianza uwezekano wa kula ni mkubwa mno.

Jamaa ana bahati sana...
 

Attachments

  • IMG_5986.png
    IMG_5986.png
    1 MB · Views: 7
Back
Top Bottom