Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amebaki Burkinafaso na England naona Egypt anaongoza mbili hapa hivyo hiyo naweka tickHizo ndio games pekee zilozobaki
Chukua hela hiyoInanitamanisha hii hapo kabaki Misri, England na Burkina Faso ama mazee nichukue hiyo...
Huu ni mmoja wa mkeka wa mwamba
View attachment 3092643
Hapo uhakika 100%Amebaki Burkinafaso na England naona Egypt anaongoza mbili hapa hivyo hiyo naweka tick
Hamna kitu kama hicho kwenye betting yaani huo mfano ulioutolea tu mkeka ushaloseWeekend tuje na mpango wa kupiga 500,000 kwa stake ya 20,000.
Yani tupate odds 25 tu.
Members 20. Kila mtu aje na timu moja na best option ya hiyo mechi.
Mfano: Southmpton vs Man utd 2x
Imefika hapo bora huu mkeka ningeweka 60k imeliwa kiajabu sana na nigeriaHapo uhakika 100%
Uhakika hapo pesa hiyoo
Wasiwasi wangu upo kwa burkinafaso hapoUhakika hapo pesa hiyoo
Anashinda huyoWasiwasi wangu upo kwa burkinafaso hapo
Timu za Africa usiziamini sanaKuna mwingine wapo hao watatoboa kweli ama nichukue hiyo
View attachment 3092669
Anashinda vizuri tuWasiwasi wangu upo kwa burkinafaso hapo