Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Imefika hapo bora huu mkeka ningeweka 60k imeliwa kiajabu sana na nigeria

View attachment 3092670
Cashout yenye zaidi ya mara 10 hiyo inapaswa kuchukuliwa. Baadae utajilaumu

But kwa nn watu mnaweka timu nyingi? Mbili tu zinatosha then stake inakua ya maana
Mfano leo Egypt, England, Algeria zilikua uhakika kwa stake ya maana
 
Bet kazi kweli !!!ebu fikilia feytoto kashindwa Piga pale kama sio nae Kabet nini? Kulkua nahaja gani yakutoa pasi
 
Kuna game zipo open. Mfano leo ya England ipo open kabisa
Aisee mkuu tatizo moyo uwe mgumu kama hiyo game ya england ukistake 10m faida million Moja na laki 5 aisee betting MTAJI Yaani inatakiwa ukitia 10m ubakize 10m nyingine pembeni ambayo Haina kazi maana inaeza pigwa ukibaki empty ni stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…