Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Basi tuishie hapa, hata nikileta halisi Utasema ni edit. Umejuaje kuwa nimeedit? Iliyoeditiwa inakuwaje na ambayo haijaeditiwa inakuwaje? Usicho jua ni kuwa kampuni ambayo unaweza ku manipulate watu kwa ku edit ni Sportybet na siyo kampuni za Mrusi.
Mzee hiyo michezo tunaijiua vizuri usione humu ndani wakuja hiyo michezo tunaijiua sportybet huwezi kudanganya edit sababu Kuna code unaweka unaona mkeka mzima na jamaa code zake tulishaweka na tukaona mkeka mzima kashinda kweli
 
Attachments

  • Screenshot_20240911_164117_org.starz888.client.jpg
    357.9 KB · Views: 4

Hiyo Sportybet wameleta huduma ya kuverify baada ya kuona watu wengi wanapigwa. Mkuu kama kuedit ni rahisi hebu jaribu kuedit hata kidogo kisha nitumie hiyo edit yako. Pia, tambua kuwa siwezi kupoteza muda wa kuedit kitu ambacho siyo sahihi
 
Wewe unatumia demo account mzee tafuta watu wa kuwadanganya hiyo michezo ya mwaka 2015 ndio walikua wanapigwa watu Sasa hivi utawadnganya wakuja ungekua hauedit Wala usingejaribu kubishana na Mimi ila kwakua huo ndio ukweli lazima ubishane
 
Sawa mkuu. Siku njema
 
Game ya kenGold ikiisha mnishtue nichukue 11000 yangu, Beer 4, sigara za buku. Siku imeisha
 
Basi tuishie hapa, hata nikileta halisi Utasema ni edit. Umejuaje kuwa nimeedit? Iliyoeditiwa inakuwaje na ambayo haijaeditiwa inakuwaje? Usicho jua ni kuwa kampuni ambayo unaweza ku manipulate watu kwa ku edit ni Sportybet na siyo kampuni za Mrusi.
MKUUU WALIKUJA WATU MIAKA YA NYUMA WANALETA CODES NZURI TU WAKAFURAHIWA WAKASHURUKIWA GAFLA WAKANZA KUAMBIWA WANAEDIT.....
USIHOFU MKUU HATA YESU ALIKATALIWA FANYA KILE MUNGU ANAKUONYESHA KWA AJILI YA WATU

WANACHOSAHAU MUNGU AKUPI UNACHOTAKA BALI UNACHOSTAHILI

WACHA WAANDIKE WAONGEE FANYA KILE MUNGU ANAKUONYESHA MKUU......CONGS N STY BLSD ALWAYS
 
Niko na backup, nalala kidogo
 
Attachments

  • Screenshot_20240911_170034_org.starz888.client.jpg
    350.4 KB · Views: 4
Sema we jamaa huwa unakua na itikadi kama za mama mjamzito aisee, punguza ghubu na ushauri kwenye maisha ya watu. Hakuna mtu anakuja amewahi kumshikia fimbo yeyote ili afate code(mkeka), halafu mbona mikeka kibao tu inawini ya uyo jamaa na tupo tunaozifuata tunamkimbiza mwizi kimya kimya! Punguza genga mtoto wa kiume wewe!
 
Asante sana mkuu. Umenipa nguvu sana
 
Tuonyeshe hata 20m kwenye account Yako ya mrusi Ili tuone kweli wewe waga unashinda na hauedit
Huyu mwamba hana Longo Longo ,.. Mikeka yake mbona inatoaga tu,.. Hatafutagi mil 90 huyu, ukiweka laki ukala laki au 80 per day si faida pia, kwa mwezi ni sh ngapi?

Betting si tamaa, izo za mil 90 si malengo ya kula kila siku na ikitokea ni bahati tu, that's why watu hawali kila siku izo mol 90
 
Hilo swala Sijakataa ila yeye jambo ya la kulazimisha eti option za kampuni za mrusi pekee zinaweza kukupa win ni uongo na ndio nimempinga nimemuambia mbona Kuna jamaa kamlamba sporty bet Kwa option za win tu tena kama milion 90
 
Wakuu hapa inakuaje game bado inaendelea sportybet wameniwekea hii game nmelose na wakati jamaa anaelekea kushinda
 
Attachments

  • Screenshot_20240911_181721_SportyBet.jpg
    355.3 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…