Alichonifanyia liverpool nimeishiwa nguvu zoteBado kuna game za usiku
Hii comment niliandika alhamisi kumbe na jitu lenyewe ni li liverfoolWeekend jitu Moja likisema hiyaaa nauaa, mikeka yote chaliiiiπ€£
Ila raha ya kubeti mliwe wengini kisanga mkuu,
hata mikeka mingine nayo imesepa.....
leo ndio nimejua betting inamaliza nguvu za kiumeππππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hii comment niliandika alhamisi kumbe na jitu lenyewe ni li liverfool
Wakuu Chelsea tumuamini 50k au nisiweke?
Achana na hiyo game, labda umfate PSG win na real Madrid 2x double chance game mbili tuWakuu Chelsea tumuamini 50k au nisiweke?
hahahaaaa nilobaki na 12k nikarebet, naona azam anamalizia mtaji wangu!View attachment 3095890 Haya tunamalizia weekend kihivyo
mwambie alale tu,Achana na hiyo game, labda umfate PSG win na real Madrid 2x double chance game mbili tu
Kama ana rebet basi aache tu lakini kama hakuweka Toka Mchana mkeka anaweza kuwekamwambie alale tu,
kesho nayo siku,
kurebet ni kupoteza pesa!