Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Supu ya asubuhi
Maafisa wabashiri hii ligi ya Mexico huwa ina magoli sana.

Huwa napendelea kucheza option ya Over kipindi cha pili hasa kuanzia dakika 70 odds zinakuwa zinapanda.

Muwe mnajaribu hiyo ligi.

NB
- Sema mechi huwa ni za usiku mnene na Alfajiri.
 

Attachments

  • IMG_6127.jpeg
    535.8 KB · Views: 5
Atl Madrid w
Celtavigo w
Willern ii w
Tottenham w
Inter w
Roma w
Lyon w
Al ahly w
Asec mimos w
Simba gg
Asv salzburg ov 2.5
Leuven gg
GENK gg
Antwerp ov 2 .5
GENK u23 gg
Pk ur test
 

Naunga mkono hoja Yako

Mie nimekuwa nikizicheza mnoo hizo

Na hii nimeiweka ktk mkeka wangu unaoishia leo

Na huwa naicheza Sana league hiyo,ni Sawa na Brazil Serial A kwa Corners huwa kibao

 
Leo nayo ni siku, Liverpool anadhani peke yake ndo ana UEFA sijui wachezaji wengine aliwapumzisha, mbona city anayo
 
Mkuu una withdraw vipi kupitia mitandao ya kawaida, au mawakala wanafanya kazi bado?
Kuna sehemu ya kwenye app ya kubetia imeandikwa Withdraw. Ukibonyeza hiyo sehemu itakuletea option za kutoa pesa yako. Wewe utachagua option uliyotumia kusajili akaunti yako. Kama ulitumia Voda, Utachagua Vodacom, na kama ulitumia Astropay utatumia hiyo njia
 
💯
AAugsburgw or d
Ath bilbao w.d
Ginoa ov 1.5
TTotty ov 1.5
celta v und 4.5
Mxb
 
Inakuja hivi, hakuna mitandao ya kawaida
 
Leo nimeamka sina balance kuchek game naona pesa nje nje, nikamwambia mama P nipe kwanza 20k nikaongezee hela ya mzigo. Alivyonipa tu chapu nikamcheck wakala atie 20k kwenye mpesa, nikasuka mkeka na RB Yumo. Inabidi nijichange upya tu
Angalia usiachane na mama P kwa huu ufala....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…