Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hizi mechi zinanifurahisha sana leo magoli kama mvua mpaka nimetoa notification tone...
Wengine kipindi cha kwanza 0-3 goals duh!!!
 
Hawa jamaa lazima wamebet dk ya 20 tayari washampa mtu goli tatu shkamoo Peterborough's na Southend
 
Huyu man city nilimpa under 3.5 na peterborough niliwapa under 4.5 wote wamefikisha kiwango cha mwisho cha ushindi duuhh likiongezeka tu........
 
Fulham niliwapa Y alafu mpaka kipindi cha pili 0-0 sijui huko uwanjani wanacheza redee!! nini Grrrrrrrrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…