Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Huyo sio wa kumbetia usije ukajichanganya vkama kushinda acha ashinde tuase simpi kabisa ila now anaongoza gol 2
alikuwa ananipa mawazo huyowanaongoza mbili
watu mmeshakata tamaa naeHuyo sio wa kumbetia usije ukajichanganya vkama kushinda acha ashinde tu
Hamna kitu hapo labda kama unaweka pesa ndogo kama buku au buku mbili ila mzigo kuanzia laki ni kisanga huyowatu mmeshakata tamaa nae
Liverpool kashapigwa kisanga kingineHamna kitu hapo labda kama unaweka pesa ndogo kama buku au buku mbili ila mzigo kuanzia laki ni kisanga huyo
Leo afungwiLiverpool kashapigwa kisanga kingine
linatia hasiraLIVERPOOL HILI LITIMU π‘ π‘ π‘
Villa kashinda 3ngoja tuone ila kashapigwa
vip astonvila
Sana yani,, mpaka saivi uwezekano wa kushinda ni mdogo sana labda sare,, ingekuwa City wala nisingekuwa na presha π₯Ίlinatia hasira
Liverpool anachana mkeka leoVilla kashinda 3
acha tu aseSana yani,, mpaka saivi uwezekano wa kushinda ni mdogo sana labda sare,, ingekuwa City wala nisingekuwa na presha π₯Ί
kaka hapo vip kuna dalili kweli Liverpool kutoboaSana yani,, mpaka saivi uwezekano wa kushinda ni mdogo sana labda sare,, ingekuwa City wala nisingekuwa na presha π₯Ί
Liverpool kachukua usingiz leo.Aisee ii time usingizi unagoma kabisaa yaani π π π π π π π π π π