Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

barca kapita na treni languuu aiseeee kazinikwamhindikunakazii dah
Kule arsenal kaoita na kakumi kangu

Yote heri kupumzika kesho nayo kazi
 
Unaogopa kuweka Over 1.5, unaweka 0.5 nako unachezea za uso, unasema acha niweke under 5.5 watu wanafungana 9
Hii kazi hataree sana mkuu n zaidi ya vita ya madawa ya kulevya mtandaooo wake smkubwaa sanaasanaa worldwide
 
wanakuwa kama wameshika simu zetu
πŸ˜‚
πŸ˜‚
πŸ˜‚

😒
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila Betting haijawah kua Rahisi asee
Usiseme hivyo kaka, mikeka yangu ni miwili na niko vizuri,,
Aisee haya ni maaaajabu
 

Attachments

  • Screenshot_20240920_002258_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    159.5 KB · Views: 27
  • Screenshot_20240920_002344_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    163.7 KB · Views: 26
Wakuu naomba kuuliza nimeona kuna baadhi ya stats kama shots on, saves zinakuwa zinatofautiana kutokana na livescore app husika mfano flashscore.com livescore.com n.k

Sasa naomba kuuliza Ipi inakuwa na taarifa sahihi au za ukweli maana hapa sielewi
 
Wakuu naomba kuuliza nimeona kuna baadhi ya stats kama shots on, saves zinakuwa zinatofautiana kutokana na livescore app husika mfano flashscore.com livescore.com n.k

Sasa naomba kuuliza Ipi inakuwa na taarifa sahihi au za ukweli maana hapa sielewi
Tumia sofascore au aiscore wapo vizuri
 
Jana Pesa ya supu na kutengeneza mikeka ya leo πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
 

Attachments

  • Screenshot_20240920-065609_SportyBet.jpg
    100.8 KB · Views: 21
Mie nimejiunga ladbrokers napiga mikeka alafu option kibao unamaliza ishu zote kwenye internet na hela inaingia wewe ni kwenda pale new afrika cassino unachukua mpunga wako ni rahisi sana kujiunga
Naipakua haipakuliki Mzee.
 

888STARZ KAMPUNI PEKEE YA MRUSI AMBAYO UKISHINDA HAINA MAKATO YA KODI YA TANZANIA. JIUNGE HAPA

Bonyeza Link Hizo Hapo Chini Kujiunga Na Promo Code Weka Neno TIPS2424 πŸ‘‡

888STARZ

888STARZ

Promo CodeπŸ‘‰ TIPS2424

Bonus Ya Mpaka TZS 300,000 Ukitumia Promo Code TIPS2424
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…