Aq mqpema nilionyaHILI PEPOO LINAPITA NA NTU LEOO TUJIPANGE KISAIKOLOJIA WALE WA OV
Hatari sana, wiki imekua ngumu sanaHahq
Aq mqpema nilionya
Sana mkuu nawaza hela za jana na leo ningekuwa na wine mbili zamanaaHatari sana, wiki imekua ngumu sana
02:29Namwona arsenal akifanya kama mancity muwe nae e makini wapendwaa
0/0 inamhusu...
Unaogopa kuweka Over 1.5, unaweka 0.5 nako unachezea za uso, unasema acha niweke under 5.5 watu wanafungana 9Sana mkuu nawaza hela za jana na leo ningekuwa na wine mbili zamanaa
Hii kazi hataree sana mkuu n zaidi ya vita ya madawa ya kulevya mtandaooo wake smkubwaa sanaasanaa worldwideUnaogopa kuweka Over 1.5, unaweka 0.5 nako unachezea za uso, unasema acha niweke under 5.5 watu wanafungana 9
Unaogopa kuweka Over 1.5, unaweka 0.5 nako unachezea za uso, unasema acha niweke under 5.5 watu wanafungana 9
Usiseme hivyo kaka, mikeka yangu ni miwili na niko vizuri,,ππππ ila Betting haijawah kua Rahisi asee
Tumia sofascore au aiscore wapo vizuriWakuu naomba kuuliza nimeona kuna baadhi ya stats kama shots on, saves zinakuwa zinatofautiana kutokana na livescore app husika mfano flashscore.com livescore.com n.k
Sasa naomba kuuliza Ipi inakuwa na taarifa sahihi au za ukweli maana hapa sielewi
Huyo atakuwa Degerfors vs Gefleπ€£π€£π€£
Degerfors kabaniwa na kibonde