Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hiyo stake kwa odd 22 umejilipua mno, big up
 
Hivi mnajua nina treni langu la timu 48,timu 18 zimetoboa bado 30,halafu hata option ya cash out Sportybet hawaweki, tokea J4 ni ushindi tu.
 
Tunajua hii ni betting ndiyo mkuu,, lakini kusema Arsenal atashinda kwa City leo ni kudanganyana (kuingizana mtegoni)

Katika game 9 walizokutana, City akiwa nyumbani ameshinda game 8,,, kwahiyo ni ngumu kwa City leo kupoteza akiwa nyumbani mkuu,, ngumu mno.
 

BET OF THE DAY ON PARIPESA

Bet Kwenye PARIPESA. Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jiunge Hapa👇.

Link: PariPesa

Link: PariPesa

PROMO CODE👉 TIPS2424

Pata 300,000 Kama Bonus Ya Ukaribisho Ukijiunga PARIPESA Kwa Kutumia Promo Code👉 TIPS2424

Code Ya Mkeka: L612S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…