Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naona wanajikausha kuweka huto tutick twa kijani hapo kwenye hizo gemu mbili as if matokeo bado πŸ€’πŸ˜Ž
 
Sio kwamba kastake 100, hiyo ni kwny mfumo inasoma ivo 100 ila ye BDO hajastake apo amebooking tu code uweze ona , huo sio mkeka uliostekiwa mzeeπŸ˜‚
 
Kubeti umeanza lini mzee, au umeanza kutumia lini SPORTYBET ?πŸ€” Ko apo ndo unazan ni mkeka huo uliostekiwa πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Si imeandikwa hapo kabisa example bet au hujui example inamanisha nnπŸ˜‚
 
hata ukiweka m5 sportybet kwenye mkeka unaoshare itaonesha sh 100, unless u-screnshot ndio itaonesha kiasi halisi
 
πŸ’ͺπŸ‘πŸ‘πŸ‘
Sio mbaya bado Mechi mbili nime Cashout mikeka yangu yooote mapemaaaaaaa,maana nikifanya kusubiria CASHOUT inashuk
Maana Match ya real Madrid niliipa bookings 2.5 na PSG nilimpa Win or Draw

πŸ‘πŸ‘πŸ‘ Kesho naamka vizuri ,alieleta CASHOUT button kuna siku anakuwa mtu wa maana,ila Jana alikuwa mpumbavvvvvv tu,nili CASHOUT kisha zikatoa🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…