Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naona wanajikausha kuweka huto tutick twa kijani hapo kwenye hizo gemu mbili as if matokeo bado 🤒😎
Screenshot_20240921-210357.jpg
 
Wakuu naomba kuuliza nan amelipia ila VIP ya yule dogo Sativa maana naona sielewi VIP mtu anatuma mkeka kaweka stake ya sh 100 kweli si utapeli huu😂😂😂😂😂💔 alafu ukiuliza inbox sasa uyo dogo Goddid sijui anajibu jeuri sana
Sio kwamba kastake 100, hiyo ni kwny mfumo inasoma ivo 100 ila ye BDO hajastake apo amebooking tu code uweze ona , huo sio mkeka uliostekiwa mzee😂
 
Wakuu naomba kuuliza nan amelipia ila VIP ya yule dogo Sativa maana naona sielewi VIP mtu anatuma mkeka kaweka stake ya sh 100 kweli si utapeli huu😂😂😂😂😂💔 alafu ukiuliza inbox sasa uyo dogo Goddid sijui anajibu jeuri sana
Kubeti umeanza lini mzee, au umeanza kutumia lini SPORTYBET ?🤔 Ko apo ndo unazan ni mkeka huo uliostekiwa 😂🙌
 
Wakuu naomba kuuliza nan amelipia ila VIP ya yule dogo Sativa maana naona sielewi VIP mtu anatuma mkeka kaweka stake ya sh 100 kweli si utapeli huu😂😂😂😂😂💔 alafu ukiuliza inbox sasa uyo dogo Goddid sijui anajibu jeuri sana
Si imeandikwa hapo kabisa example bet au hujui example inamanisha nn😂
 
Wakuu naomba kuuliza nan amelipia ila VIP ya yule dogo Sativa maana naona sielewi VIP mtu anatuma mkeka kaweka stake ya sh 100 kweli si utapeli huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji174] alafu ukiuliza inbox sasa uyo dogo Goddid sijui anajibu jeuri sana
hata ukiweka m5 sportybet kwenye mkeka unaoshare itaonesha sh 100, unless u-screnshot ndio itaonesha kiasi halisi
 
💪👏👏👏
Sio mbaya bado Mechi mbili nime Cashout mikeka yangu yooote mapemaaaaaaa,maana nikifanya kusubiria CASHOUT inashuk
Maana Match ya real Madrid niliipa bookings 2.5 na PSG nilimpa Win or Draw

👏👏👏 Kesho naamka vizuri ,alieleta CASHOUT button kuna siku anakuwa mtu wa maana,ila Jana alikuwa mpumbavvvvvv tu,nili CASHOUT kisha zikatoa🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom