Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Menu ya kubetia kwenye Nokia tochi nasisi tufaidi Wakuuu
 
ATALANTA Win
Nilishaapa timu za Italy kutozigusa jana cjui ilikuwaje dah,,,,, kweli Atalanta wa kungwa na como tena nyumbani na siyo cup ni ligi kuu,,,, Italy nyoko ...

Nawaza katreni kangu kamoja yuko inter anacheza na cvezda najuta kumuwekea udhamana , Itali dah
 
Pjj9u 1xglobal👩‍💻

5tj9u paripesa🧑🏿‍💻

Vd49u megapari👩‍💻

Jn49u helabet🧑🏿‍💻

Ay49u betwinner👩‍💻
 
64k9u 1xglobal🧑🏿‍💻

Xuk9u paripesa👩‍💻

Vfl9u megapari🧑🏿‍💻

1ql9u helabet👩‍💻
 
Italy ni wahuni kama wahuni wengine,,,, yanga pamoja na kwamba yuko away awezi fanya ujinga ujinga wa kupoteza gem kwa ken-gold,,, sahau hilo
 
1xbet G: 7z6zu

22bet: t96zu

Paripesa: ecrzu

Megapari: n2rzu

Helabet: gbrzu

Betwinner: barzu
 
1xbet G: gx78u

22bet: 8x78u

Paripesa: cy78u

Megapari: xy78u

Helabet: n878u

1xbet: j778u
 
Mkuu Helabet umewajaribu wako sawa kutoa na kuweka hela kwa mobile payment?

Mawakala wa 1xbet sasa hivi wanzingua sana aisee
LEo yenyewe nimehamisha kuja tigopesa imekuja chap kama sportybet wala haijafikiri.
 
Italia wao hawana mpira kudunda ni wauza mechi maarufu sana labda mgeni wa hii sekta
 
Ni kweli Mdau
Direct wins zinatucost mnoo

ATALANTA vs COMO mie mikeka miwili niliipa Corners 6.5 na ikatoa

Kuna options ya Bookings/Cards

Kama leo Corners over 6.5 zimeachiwa kibao UEFA

Young Africans nimempa mechi yote overall 1.5
 
Naomba ufafanuzi wa "draw no bet"
Kwa mfano " man u vs Twente " umeweka home
Mechi ikiisha draw mkeka inakuwa kama ujabeti ila home akiwin mkeka umetiki ...mechi ikiisha draw mkeka unabaki hai ila wanakurefund kwenye hiyo mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…