KOROSHO BOMBA
Member
- May 11, 2024
- 31
- 34
OkMechi ikiisha draw mkeka inakuwa kama ujabeti ila home akiwin mkeka umetiki ...mechi ikiisha draw mkeka unabaki hai ila wanakurefund kwenye hiyo mechi
Mathematically tunasema mechi ikiisha draw odds inakua reduced to 1.00 na inachukuliwa as winMechi ikiisha draw mkeka inakuwa kama ujabeti ila home akiwin mkeka umetiki ...mechi ikiisha draw mkeka unabaki hai ila wanakurefund kwenye hiyo mechi
Mimi wananipa ujumbe huuwanajamvi mpaka sasa hivi kuna aliyefanikiwa kuwithdraw ela kutoka 888
shukrani mkuu.Wadau wa sportybet mara moja moja tuwe tunatembelea pale CodeHub na kufwata hata treni moja mbili. Kuna madini sana pale
Ndiyo maana yake onakuwa na odds 1.00Mathematically tunasema mechi ikiisha draw odds inakua reduced to 1.00 na inachukuliwa as win
Hii yanga kuna over 1.5 kweli hapa