Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Du hizi mechi mbili ni hstari sana siku zote kwenye mechi lazima zitakuwepo zenye odds ndogo zenye kuchana ..sema nimevuka salama
 

Attachments

  • Screenshot_20240925-235357_SportyBet.jpg
    149.1 KB · Views: 19
******* kweli mbwa hao 1.3m nimeikosa kisa hao mbwa mamina zao
treni langu la wiki mbili ali alibaki yeye, bahati mbaya umeme ulikatika hivyo asubuhi hii ndio naangalia hapa naona salio halibadiliki, aisee inauma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…