Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ipo siku kanji nitamliza mamilioni kwa visenti tu maana matreni nisiyo post huwa yanakenda vizuri sana najua siku siyo nyingi
 

Attachments

  • Screenshot_20240927-110733_SportyBet.jpg
    145.2 KB · Views: 3
betPawa

Odds 9.19
code KONVGPY
 

Attachments

  • Screenshot_20240927-115010.jpg
    279.1 KB · Views: 3
Habari wana jamvi, nina changamoto moja naomba mwenye ufahamu anisaidie..

Nilideposit 888starz kwa Vodacom Mpesa nikazungusha mtaji kama wiki nikaipata faida..sasa nilipofanya uamuzi wa ku-withdraw nikakuta huduma ya kutoa kwa mobile haipo, nikajaribu kutafuta wakala na yeye kachemka, naomba mwenye kujua namna anielimishe.

Salute kwenu wawekezaji.
 
account iko tayari ya helabet
Account ya helabet iko tayari sema shida iko hapa kwenye ku deposit inaandika hivi
 

Attachments

  • Screenshot_20240927-120436_Helabet.jpg
    61.4 KB · Views: 2
Hapo ni kusubiri itengemae.... au laah jaribu Astropay...

Japo nami ndio nahangaika nayo.
Astropay ni online wallet ipo play store. Ndio wadhamini wa Wolverhampton.
 
Hapo ni kusubiri itengemae.... au laah jaribu Astropay...

Japo nami ndio nahangaika nayo.
Astropay ni online wallet ipo play store. Ndio wadhamini wa Wolverhampton.
Astropay nimejaribu, yes pesa inatoka kule 888starz na inainhlgia astropay, tatizo ni kuitoa Astropay kuja Mpesa
 

ROLL OVER DAY ONE ON PARIPESA πŸ“Œ

Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jiunge Kwa Kubonyeza Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno TIPS2424 πŸ‘‡

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

Booking Code: 434G8
 
Mkuu ndio maana huwa tunasisitiza haya makampuni ya kirusi ni mazuri sana kwenye mpangilio na machaguo lukuki....... lakini sasa BET AT YOUR OWN RISK

UHUNI ni mwingi sana haswa kwenye makampuni ambayo hayajasajili Bongo kama hiyo

Shida kubwa ni kwamba njia uliyotumia kuweka hela ndio hiyo pekee utakayo tumia kuzitoa hela ukila......
kuna mchakato mrefu wa kubadili njia, Unatakiwa u deposit kwa njia nyingine halafu utumie kiasi chote kubet kisha bet iki win ndio utaweza kutoa kwa njia hiyo mpya uliofanya deposit
Ki ufupi mchakato ni mgumu, wasiliana nao watakupa masharti yake

Au wasiliana na huyu mdau Ser naona anaipigia sana promo hii kampuni akusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…