Imagine Sparta na odd ya 1.17 anapigwa 3 akiwa homewazee mmeona betting ilivyo ngumu?!
halafu anatokea mtu asiyejua nini maana ya betting anasema "kubet ni rahisi, wanaobet wanapenda maisha rahisi".
kwakweli maisha ya betting siyo rahisi, ni magumu kuliko watu wanavyoyafikiria.
ongeza na dinpo.....Kuna huyu Sparta Prague nae kasepa mkeka wangu wa maana kabisa
Hasa jamaa cash out wanabana sana
👏👏👏👏💪View attachment 3108755Done for today, nilale sasa ✅✅✅
Hongera sanaView attachment 3108755Done for today, nilale sasa ✅✅✅
Hauna shida mbona huu mkeka tia mzigo tu mkuuWataalamu wa jicho la tatu ushauri kuhusu huu mkeka uwezekano upo nitie pesa?View attachment 3108737
Option nzuri ya kubeti ni ile ambayo kanji hajawekaoption za corner na over 1.5 zinanipotezea muda. bora hata corner kidogo.
naziona kama nimeshazimasta lakini bado zinanichania mikeka. kila nikizifanyia kazi nirekebishe ninapozikosea, najiona nimesharekebisha makosa yote. nikiziweka kwenye mikeka zinaendelea kuchana, mlolongo unakuwa uleule najiona bado kuna sehemu nazikosea sijazimaliza.
option nzuri ni ile ambayo ukikosa unajua umekosea wapi. lakini corner na over 1.5 hujui kama umekosea wapi.
View attachment 3108278
⚽MKEKA WA SIKU KWENYE PARIPESA⚽
Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jiunge Kwa Kujisajili Kupitia Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno TIPS2424👇
Link: PariPesa
Link: PariPesa
Promo Code: TIPS2424
📌Pata Bonus Ya 250000 Kwa Kujisajili Kupitia Link Hizo Hapo Juu Na Kuweka Promo Code TIPS2424. Bonus Unapewa Mara Mbili Ya Kiasi Unacho Deposit.
Booking Code: HS9K8
Option nzuri ya kubeti ni ile ambayo kanji hajaweka