Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

TAHADHARI

Kuna hati hati timu kubwa nyingi kesho na kesho kutwa (weekend hii) zikaangukia pua,hivyo ni vema ukaweka mkeka Kwa Tahadhari! Maana wiki ijayo hao wakubwa karibia wote Wana michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE,hivyo Kuna uwezekano wakawapumzisha wachezaji wao tegemo na muhimu!

Nadhani weekend hii watu watakaopiga pesa ni watu watakao Weka mikeka kwenye timu ndogo za kawaida au vinginevyo ni vema uka-bet Magoli,ukienda direct win utaumia!

SPARTA PRAGUE kapita na mikeka yangu yote nilimpa Direct win kapigwa na SIGMA 3 - 2

Mechi zote nilizoweka Magoli zimetoa,ni huyo mpuuzi tu ndo kanichania!

By the way

Sina mtaji,hebu mwenye buku 5 anisogezee
 
Wataalamu wa jicho la tatu ushauri kuhusu huu mkeka uwezekano upo nitie pesa?
Screenshot_20240927-232426.jpg
 
option za corner na over 1.5 zinanipotezea muda. bora hata corner kidogo.

naziona kama nimeshazimasta lakini bado zinanichania mikeka. kila nikizifanyia kazi nirekebishe ninapozikosea, najiona nimesharekebisha makosa yote. nikiziweka kwenye mikeka zinaendelea kuchana, mlolongo unakuwa uleule najiona bado kuna sehemu nazikosea sijazimaliza.

option nzuri ni ile ambayo ukikosa unajua umekosea wapi. lakini corner na over 1.5 hujui kama umekosea wapi.
 
Option nzuri ya kubeti ni ile ambayo kanji hajaweka
 
View attachment 3108278
⚽MKEKA WA SIKU KWENYE PARIPESA⚽

Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jiunge Kwa Kujisajili Kupitia Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno TIPS2424👇

Link: PariPesa

Link: PariPesa

Promo Code: TIPS2424

📌Pata Bonus Ya 250000 Kwa Kujisajili Kupitia Link Hizo Hapo Juu Na Kuweka Promo Code TIPS2424. Bonus Unapewa Mara Mbili Ya Kiasi Unacho Deposit.

Booking Code: HS9K8
xqv5h5.jpg

BOOOOMMMM 🔥🔥🔥🔥🔥

2,600,000 BOOM ON PARIPESA BOOM. 💰✅✅🔥🤑🤑🔥💰💰

🔥🔥✅🏆🤑💰💰✅✅🔥💰

1,000,000 - 2,600,000 Mfukoni 💰💰🤑🤑.

Upo Tayari Kushinda Leo? Jiunge PARIPESA Kwa Kubonyeza Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno TIPS2424 upate bonus ya mpaka TZS 250000 ambayo utaitumia kwa kubetia leo 👇.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE👉 TIPS2424
 
Back
Top Bottom