Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,047
- 1,903
ni kweli. kila option unayoiona, bookers wameichambua na kuihakiki wameona inawalipa.Option nzuri ya kubeti ni ile ambayo kanji hajaweka
Kwa imani yako, kwanza wacha nikusogezee code za nigeriaNawakumbusha Leo ni sabato ya Bwana jamani msibeti tukutane kesho
9376af6
Fc0bbcb
6d5afea
A28c570d
option za corner na over 1.5 zinanipotezea muda. bora hata corner kidogo.
naziona kama nimeshazimasta lakini bado zinanichania mikeka. kila nikizifanyia kazi nirekebishe ninapozikosea, najiona nimesharekebisha makosa yote. nikiziweka kwenye mikeka zinaendelea kuchana, mlolongo unakuwa uleule najiona bado kuna sehemu nazikosea sijazimaliza.
option nzuri ni ile ambayo ukikosa unajua umekosea wapi. lakini corner na over 1.5 hujui kama umekosea wapi.
Bookings ndio kadi za njano?
Ndiyo,[emoji736]
Kuna siku akili huwa zinakua kama zina stuck hivi kila game ukiichungulia unaona inakataa
Nahitaji odd 10 za 1xbet [emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu mbona kampuni zote za kibongo zina makato 10%1xbet kwa yale makato mnahimili vipi aisee?